Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 3,039
- 5,560
Kabla ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia na kuniepusha dhidi ya usimba na uyanga. Mimi ni mpenzi michezo nafuatilia michezo mingi kwahiyo moja ya furaha yangu ni michezo.
Jana nilipata wasaa wa kutizama mchezo baina ya Taifa Jang'ombe dhidi ya Yanga mchezo ulikuwa mzuri sana ila kuna kijana anaitwa Nkane amenivutia sana. Huyo bwana mdogo ana sifa lukuki, nimependa uchezaji wake. Dogo ana nyumbulika ni hatari sana. Ila kuna baadhi ya mambo inabidi aweke sana naimani mwalimu ameyaona, ni jukumu lake kuyafanyia kazi pindi atakapo elekezwa.
Dogo akiendelea hiv hiv na akipunguza uswahili wetu naimani atafika mbali sana. Asante sana Yanga kwa kumpa nafasi.