Denis Nkane, Supastaa mpya wa mpira Tanzania

Kwa level za mapinduzi cup anafaa, ila siyo CAF CL au CAF CC.
Huyo Dogo anajua bhana. Mechi ya kwanza yaLigi kati ya Biashara FC na Simba SC kidogo amtoe nyongo Manula na Mabeki wake aliwachachafya vilivyo. Nina imani hata mechi ya Yanga SC na Biashara FC angecheza huenda Yanga asingepata ushindi mechi ile.
 
Alifunga au alishawahi ku assist goal?

Hujui lolote hata saluti hujui maana yake[emoji23][emoji23][emoji23]

Nkane ni kipaji sawa ila bado kwa big games!
We kolo kweli...Dogo kawachapa namungo. juzi tu kimataifa shirikisho amefunga we big games gani unazozisemea au unataka awabikiri kama mayele
 
Mkuu mechi moja tena mapinduzi na timu ni jangombe tayari ushamuona ni star?
 
Mkuu umezisahau simba na yanga ww dogo anatakiwa ajipange hasa nje ya uwanja

Muulize boxer alichofanyiwa kipindi anakuja juu pale yanga au miraj athumani wa simba

Walikaa nje msimu mzima kwa majeraha bila kumsahau balama mapinduzi.

Dogo ajipange sana.
 
Alifunga au alishawahi ku assist goal?

Hujui lolote hata saluti hujui maana yake[emoji23][emoji23][emoji23]

Nkane ni kipaji sawa ila bado kwa big games!
Kwahiyo hakufunga au ku assist?

Ama kweli mbumbumbu ni hasara kwa wazazi wake.
Hebu mtu atusaidie hapa hii punda 😁😁😁
 
Kwahiyo hakufunga au ku assist?

Ama kweli mbumbumbu ni hasara kwa wazazi wake.
Hebu mtu atusaidie hapa hii punda [emoji16][emoji16][emoji16]
Matusi ya nini? You take things too serious enough to insult me?

Wazazi wamekosea nini? Hebu kuwa muungwana, sitaki kujibizana na wewe matusi, nilichukulia kama utani tu ila umevuka mipaka mkuu.

Mambo ya ushaki yabaki vile, nilichukulia utani wa Simba na Yanga kuchallenge lakini why unanitukana matusi?
 
Dogo anajua sana, very talented! Nakiona kipaji cha Ngassa kwa Nkane
o
 
Mrisho Ngasa ana bode ya boli? Mbona ndiye mchezaji mweye magoli mengi zaidi timu ya taifa kuliko watu wenye miili mikubwa kama Boko? Kweli wewe ni mbumbumbu
Sasa wew kilaza mrisho ngasa ndio unaona mchezaji wa kutolea mfano..utopolo bwana Kama mmekatwa vichwa hivi
 
Huo ndio utani wenyewe mzee
Ninachojua wewe ni mwepesi wa kukasirika siku zote na ndio maana tunaenda sambamba.

Sina maana ya kukutukania wazazi wako πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mtoto wa buza huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…