Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Nakubali kuwa mchawi kwa hilo!U-simba na u-Yanga ukikuzidi sana lazima uwe lichawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali kuwa mchawi kwa hilo!U-simba na u-Yanga ukikuzidi sana lazima uwe lichawi
Kwa sura na kujichubua freshWaziri junior alikuwa mzuri sana ila mkaua kipaji chake!
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda!Kwa sura na kujichubua fresh
Huyo Dogo anajua bhana. Mechi ya kwanza yaLigi kati ya Biashara FC na Simba SC kidogo amtoe nyongo Manula na Mabeki wake aliwachachafya vilivyo. Nina imani hata mechi ya Yanga SC na Biashara FC angecheza huenda Yanga asingepata ushindi mechi ile.Kwa level za mapinduzi cup anafaa, ila siyo CAF CL au CAF CC.
bila kuwasahau kina ndemla,ame,ajibu,ilamfya na kaka yao duncanYule waziri junior yukwapi!
Tumeua angenda Dodoma jiji amabako mkiwafungaga tena wakiwa nusu mnashagilia hadi wazee wenu wanavua nguo!?Waziri junior alikuwa mzuri sana ila mkaua kipaji chake!
We kolo kweli...Dogo kawachapa namungo. juzi tu kimataifa shirikisho amefunga we big games gani unazozisemea au unataka awabikiri kama mayeleAlifunga au alishawahi ku assist goal?
Hujui lolote hata saluti hujui maana yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Nkane ni kipaji sawa ila bado kwa big games!
Mrisho Ngasa ana bode ya boli? Mbona ndiye mchezaji mweye magoli mengi zaidi timu ya taifa kuliko watu wenye miili mikubwa kama Boko? Kweli wewe ni mbumbumbuUtopolo hamna mchezaji pale Hana body ya mpira
Kwahiyo hakufunga au ku assist?Alifunga au alishawahi ku assist goal?
Hujui lolote hata saluti hujui maana yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Nkane ni kipaji sawa ila bado kwa big games!
Matusi ya nini? You take things too serious enough to insult me?Kwahiyo hakufunga au ku assist?
Ama kweli mbumbumbu ni hasara kwa wazazi wake.
Hebu mtu atusaidie hapa hii punda [emoji16][emoji16][emoji16]
oKabla ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia na kuniepusha dhidi ya usimba na uyanga. Mimi ni mpenzi michezo nafuatilia michezo mingi kwahiyo moja ya furaha yangu ni michezo.
Jana nilipata wasaa wa kutizama mchezo baina ya Taifa Jang'ombe dhidi ya Yanga mchezo ulikuwa mzuri sana ila kuna kijana anaitwa Nkane amenivutia sana. Huyo bwana mdogo ana sifa lukuki, nimependa uchezaji wake. Dogo ana nyumbulika ni hatari sana. Ila kuna baadhi ya mambo inabidi aweke sana naimani mwalimu ameyaona, ni jukumu lake kuyafanyia kazi pindi atakapo elekezwa.
Dogo akiendelea hiv hiv na akipunguza uswahili wetu naimani atafika mbali sana. Asante sana Yanga kwa kumpa nafasi.
Sasa wew kilaza mrisho ngasa ndio unaona mchezaji wa kutolea mfano..utopolo bwana Kama mmekatwa vichwa hiviMrisho Ngasa ana bode ya boli? Mbona ndiye mchezaji mweye magoli mengi zaidi timu ya taifa kuliko watu wenye miili mikubwa kama Boko? Kweli wewe ni mbumbumbu
vigagula UTAWAJUA TUKwa level za mapinduzi cup anafaa, ila siyo CAF CL au CAF CC.
Huo ndio utani wenyewe mzeeMatusi ya nini? You take things too serious enough to insult me?
Wazazi wamekosea nini? Hebu kuwa muungwana, sitaki kujibizana na wewe matusi, nilichukulia kama utani tu ila umevuka mipaka mkuu.
Mambo ya ushaki yabaki vile, nilichukulia utani wa Simba na Yanga kuchallenge lakini why unanitukana matusi?
Mtoto wa buza huyoKabla ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia na kuniepusha dhidi ya usimba na uyanga. Mimi ni mpenzi michezo nafuatilia michezo mingi kwahiyo moja ya furaha yangu ni michezo.