Denis phombeah kwa ufupi


Tokea awali nilitahadharisha mabishano ya aina hii kwa vile huwa sifanyi na hayana tija.

Ukristo ni kuwa mfuasi wa Yesu Kristo na kufuata mafundisho yake yote kwa kuyaishi na kumwamini.

Kuhusu uislam siwezi kuliongelea kwakuwa lina wenyewe na mie sio mmoja wao, ndio maana nimesema ukristo ni wa wa kristo.

Sasa hata huyo Yesu unaemsema wewe ni tofauti, unasema Yesu alayhi, huyo simjui. Na hapo ndio utata ulianza tokea awali, umeleta nukuu ya Biblia inayosema asiitwe mtu Baba duniani, bila kujali muktadha, nikakwambia Nyerere ni Baba wa Taifa.

Sasa naona umehamishia mjadala kwenye dini na unaleta habari za Yesu alayhi nisiemjua.

Kusema uislam ni wa waislam nilimaanisha mimi asiyemuislam hawezi kuwa mjuaji au muelewa wa uislam kuwapita waislam wenyewe.
 
Mshahama kutoka kwa Denis Phombeah Kwenye udini!! Si muanzishe uzi wenu?
 
Yesu alayhi salaam maana yake nini?
Naomba niulize swali Muhammad alipata wapi historia zilizokuwa kwenye Biblia mfano mama yake Yesu bikira Maria historia za kale kabisa za kina Ibrahim, Musa n.k?
.
Ina maana Malaika Gabriel alikuja kumfunulia Quran kuanzia kuumbwa kwa dunia, mitume walivyokuja walifanya nini, walikula nini, walikataza nini, waliishi wapi na akamfundisha makosa yaliyoko kwenye Biblia ya Agano Jipya na kumpa sahihi yake?
 
Bishana na biblia. Mstari umeuona. Zingine ni ndogo ndogo za hapa na pale.
 
Alayhi salaam = salama/amani i nae.


Mtume Muhammad Salla Allahu alayhi Wasalaam hajapata popote zaidi ya kuteremshiwa wahyi na Allah, wahyi huo ni Qur'an.

Isome Qur'an utayapata mengi sana ambayo ulikuwa huna yakini nayo: http://www.iium.edu.my/deed/quran/swahili/index.html
 
Uzi huu unahusu wapigania Uhuru wewe kilaza.....,
 
Sisomi Quran mimi kwa sababu hainihusu, jibu maswali yangu moja baada ya jingine hata kwa kutoa vifungu kutoka huko.
.
Malaika Gabriel alimshushia Quran alafu akampa historia za manabii wote wa kale, akamfundisha walivyokuwa wakiishi, walivyokula, walivyofanya walipokosea alafu akamwambia na bwana mtume kuwa Agano jipya limeongoshwa hapa na pale sahihisha hivi sio?
 
Hizo habari ulizoleta umezitoa wapi?
 
Wew huwez kuielewa Bible mpaka unakufa,hiyo hiyo Mathayo 6:9 mpaka kumi inasema ,BABA YETU ULIE MBINGUNI ,sasa tuone unaikubal hiyo hii utapinga ,akili fupi bhana
 
Wew huwez kuielewa Bible mpaka unakufa,hiyo hiyo Mathayo 6:9 mpaka kumi inasema ,BABA YETU ULIE MBINGUNI ,sasa tuone unaikubal hiyo hii utapinga ,akili fupi bhana

Watu wanaongelea duniani wewe unaongelea mbinguni. Hivi unaelewa unachokisoma kweli? Rudia...


FaizaFoxy said:
Mathayo 23:9
Wala msimwite mtu yeyote 'Baba' hapa duniani ...
 
Kwa iyo unakubali Mungu ni Baba
Mungu wenu anaweza kuwa chochote mkitakacho lakini kumbuka, hakuna Mungu isipokuwa Allah. Allah siyo baba. Allah ni zaidi ya baba.

Hizo sifa za kijinga. Baba kanisani haoi wala hazai mnampachika u baba.

Baba wengine wanakimbia watoto kweupe mnabaki kila mwanamme anaeingia nyumbani kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko. Khaa!

Mwengine kaacha wanawe hata kula hawana eti nae baba!
 

Marehemu Prof Haroub Othman alinifundisha chuo kikuu UDSM somo linaitwa Development Studies (DS)!

Very very smart guy na mwalimu mzuri sana!

His classes were kid’s favorite!

RIP my nigga!
 
Hizo habari ulizoleta umezitoa wapi?
Kwenye maandiko mbalimbali ya Quran yanayosambazwa kwenye mitandao.
.
Kuna group niko la WhatsApp la Christians Vs Muslims hawa waislamu wanaeleza kwa undani kabisa hadi malengo ya dini na sio group la waswahili swahili wengi ni waarabu, wahabeshi na wazungu.
.
Usishangae hata mimi nina asili mojawapo kati ya hizo mbili za mwanzo ndio maana haijawa shida mimi kuwa huko
 
Kama ni Boxing,tunaweza kusema umepiga chini ya mkanda!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…