Denis phombeah kwa ufupi

Denis phombeah kwa ufupi

Narudia na nnaongezea Uislam maana nawe umeongeza na Uislam...

Ikiwa maana ya mkristo ni kumfata Yesu alayhi salaam basi Muislam ni Mkristo bora kabisa kuliko yeyote yule.

Muislam anatawadha kama alivyotawadha Yesu alayhi salaam, anaswali kama alivyoswali Yesu alayhi salaam anaamini Mungu mmoja kama wanavyoamini Waislam.

Ushahidi wote ndani ya biblia. Ukipenda anzisha mada.

Unafahamu maana ya neno Uislam?

Nini maana ya neno Uislam?

Nini maana ya neno Ukristo?

Hapa patamu sana.

Tokea awali nilitahadharisha mabishano ya aina hii kwa vile huwa sifanyi na hayana tija.

Ukristo ni kuwa mfuasi wa Yesu Kristo na kufuata mafundisho yake yote kwa kuyaishi na kumwamini.

Kuhusu uislam siwezi kuliongelea kwakuwa lina wenyewe na mie sio mmoja wao, ndio maana nimesema ukristo ni wa wa kristo.

Sasa hata huyo Yesu unaemsema wewe ni tofauti, unasema Yesu alayhi, huyo simjui. Na hapo ndio utata ulianza tokea awali, umeleta nukuu ya Biblia inayosema asiitwe mtu Baba duniani, bila kujali muktadha, nikakwambia Nyerere ni Baba wa Taifa.

Sasa naona umehamishia mjadala kwenye dini na unaleta habari za Yesu alayhi nisiemjua.

Kusema uislam ni wa waislam nilimaanisha mimi asiyemuislam hawezi kuwa mjuaji au muelewa wa uislam kuwapita waislam wenyewe.
 
Mshahama kutoka kwa Denis Phombeah Kwenye udini!! Si muanzishe uzi wenu?
 
Umenena vyema kabisa. Kumbe kufundishana bibilia ni "upuuzi"?

Ikiwa maana ya mkristo ni kumfata Yesu alayhi salaam basi Muislam ni Mkristo bora kabisa kuliko yeyote yule.

Muislam anatawadha kama alivyotawadha Yesu alayhi salaam, anaswali kama alivyoswali Yesu alayhi salaam, anaamini Mungu mmoja kama alivyoamini Yesu alayhi salaam.

Ushahidi wote ndani ya biblia. Ukipenda anzisha mada.
Yesu alayhi salaam maana yake nini?
Naomba niulize swali Muhammad alipata wapi historia zilizokuwa kwenye Biblia mfano mama yake Yesu bikira Maria historia za kale kabisa za kina Ibrahim, Musa n.k?
.
Ina maana Malaika Gabriel alikuja kumfunulia Quran kuanzia kuumbwa kwa dunia, mitume walivyokuja walifanya nini, walikula nini, walikataza nini, waliishi wapi na akamfundisha makosa yaliyoko kwenye Biblia ya Agano Jipya na kumpa sahihi yake?
 
Kinachokatazwa hapo ni lile tendo la kumfanya mtu kuwa tumaini lako yaani huwezi kufanya kitu bila yeye ukipata shida,tatizo au changamoto unakimbilia kwake yaani hata habari ya wokovu wako unategemea yeye badala ya kumtegemea Baba aliye mbinguni hiki ndicho kinachokatazwa hapo maana watu wameenda mbali sana siku hizi wana Baba Mtakatifu (Papa) wana daddy zao mitume kina nabii Bushiri, Mwamposa nk wakiwaona hao ndiyo wamebeba kila kitu chao hawamtazami Mungu wao ni hao viongozi wa kiroho

Lakini hilo fungu au aya haikatazi habari ya kumuita mzazi wako Baba wala Nyerere kuwa Baba wa taifa maana haina athari yoyote
Bishana na biblia. Mstari umeuona. Zingine ni ndogo ndogo za hapa na pale.
 
Yesu alayhi salaam maana yake nini?
Naomba niulize swali Muhammad alipata wapi historia zilizokuwa kwenye Biblia mfano mama yake Yesu bikira Maria historia za kale kabisa za kina Ibrahim, Musa n.k?
.
Ina maana Malaika Gabriel alikuja kumfunulia Quran kuanzia kuumbwa kwa dunia, mitume walivyokuja walifanya nini, walikula nini, walikataza nini, waliishi wapi na akamfundisha makosa yaliyoko kwenye Biblia ya Agano Jipya na kumpa sahihi yake?
Alayhi salaam = salama/amani i nae.

Mtume Muhammad Salla Allahu alayhi Wasalaam hajapata popote zaidi ya kuteremshiwa wahyi na Allah, wahyi huo ni Qur'an.

Isome Qur'an utayapata mengi sana ambayo ulikuwa huna yakini nayo: http://www.iium.edu.my/deed/quran/swahili/index.html
 
Shindana na biblia. Hata ujitetee vipi huwezi shindana na huu mstari. Kasome "context" nakuwekea tena "reference".

Sikushangai kwani wengi mnaisoma biblia lakini kila mmoja wenu anatafsiri apendavyo. Mkiambiwa msimle nguruwe. Nyie mnasema kiingiacho halali. Hahahahaha, ndiyo maana kule Vatikano kuna 70% ya wanaotumia viingiavyo hata kwenye pakutokea. Si mmehalalisha viingiavyo?

Hatuwashangai kwa kuikana biblia kwa hili la "baba". Mna kila aina ya baba licha ya kukatazwa na biblia.

FaizaFoxy said:
Mathayo 23:9
Wala msimwite mtu yeyote 'Baba' hapa duniani ...

kwa kukujuza tu.
Uzi huu unahusu wapigania Uhuru wewe kilaza.....,
 
Alayhi salaam = salama/amani i nae.

Mtume Muhammad Salla Allahu alayhi Wasalaam hajapata popote zaidi ya kuteremshiwa wahyi na Allah, wahyi huo ni Qur'an.

Isome Qur'an utayapata mengi sana ambayo ulikuwa huna yakini nayo: http://www.iium.edu.my/deed/quran/swahili/index.html
Sisomi Quran mimi kwa sababu hainihusu, jibu maswali yangu moja baada ya jingine hata kwa kutoa vifungu kutoka huko.
.
Malaika Gabriel alimshushia Quran alafu akampa historia za manabii wote wa kale, akamfundisha walivyokuwa wakiishi, walivyokula, walivyofanya walipokosea alafu akamwambia na bwana mtume kuwa Agano jipya limeongoshwa hapa na pale sahihisha hivi sio?
 
Hizo habari ulizoleta umezitoa wapi?
 
Sikushangai. Ungekuwa hauna huo "ujinga" usingebaki ulipo.

Unapewa darsa la "baba" unaleta hoja ya "mtoto".

Shindana na biblia. Hata ujitetee vipi huwezi shindana na huu mstari. Kasome "context" nakuwekea tena "reference".

Sikushangai kwani wengi mnaisoma biblia lakini kila mmoja wenu anatafsiri apendavyo. Mkiambiwa msimle nguruwe. Nyie mnasema kiingiacho halali. Hahahahaha, ndiyo maana kule Vatikano kuna 70% ya wanaotumia viingiavyo hata kwenye pakutokea. Si mmehalalisha viingiavyo?

Hatuwashangai kwa kuikana biblia kwa hili la "baba". Mna kila aina ya baba licha ya kukatazwa na biblia.

FaizaFoxy said:
Mathayo 23:9
Wala msimwite mtu yeyote 'Baba' hapa duniani ...
Wew huwez kuielewa Bible mpaka unakufa,hiyo hiyo Mathayo 6:9 mpaka kumi inasema ,BABA YETU ULIE MBINGUNI ,sasa tuone unaikubal hiyo hii utapinga ,akili fupi bhana
 
Wew huwez kuielewa Bible mpaka unakufa,hiyo hiyo Mathayo 6:9 mpaka kumi inasema ,BABA YETU ULIE MBINGUNI ,sasa tuone unaikubal hiyo hii utapinga ,akili fupi bhana

Watu wanaongelea duniani wewe unaongelea mbinguni. Hivi unaelewa unachokisoma kweli? Rudia...

FaizaFoxy said:
Mathayo 23:9
Wala msimwite mtu yeyote 'Baba' hapa duniani ...
 
Kwa iyo unakubali Mungu ni Baba
Mungu wenu anaweza kuwa chochote mkitakacho lakini kumbuka, hakuna Mungu isipokuwa Allah. Allah siyo baba. Allah ni zaidi ya baba.

Hizo sifa za kijinga. Baba kanisani haoi wala hazai mnampachika u baba.

Baba wengine wanakimbia watoto kweupe mnabaki kila mwanamme anaeingia nyumbani kwenu unaambiwa mwamkie baba'ko. Khaa!

Mwengine kaacha wanawe hata kula hawana eti nae baba!
 
Njinjo,
Ahmed Rashad Ali alikuwa akinambia kuwa mara nyingi alikuwa
akimuomba Abdul Sykes ambae alikuwa rafiki yake toka 1939 hadi
Abdul alipofariki 1968 aeleze mchango wake katika kuasisi TANU
1954.

Abdul alikuwa akimkatalia akimjibu kuwa kuna baadhi ya watu ndani
ya TANU wangependa wao ndiyo wawe watu waliounda chama hicho
yeye asingependa kuingia katika mjadala wa hilo.

Uhuru mwaka wa 1961 ulikuja na changamoto zake.

Baada ya uhuru kulijitokeza juhudi za kushusha hadhi ya TAA kwa
kukiita, ''chama cha starehe.''

Maana ya maneno haya ni kuwa ikiwa TAA ni chama cha starehe basi
hata viongozi wake hawakuwa watu wa maana wa kuandikwa katika
historia ya uhuru wa Tanganyika.

Mimi historia ya TANU ni historia ya wazee wangu na kwa kweli naijua
kukushinda kwani ni historia ya baba zangu na shangazi zangu.

Kama vile Abdul Sykes alivyokaa kimya wakati mwingine huwa naona
sina haja ya kubishana kwa jambo lililo dhahiri.

Kufanya hivi ni moja ya mafunzo katika Uislam.

Ila nitakuambia kitu kimoja.

Katika wasomi wa hapa nyumbani ambao walitaabishwa sana na historia
ya Abdul Sykes, uhusiano wake na Julius Nyerere na kuundwa kwa TANU
ni marehemu Prof. Haroub Othman wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.

Prof. Haroub alizungumza na mimi baada ya kusoma kitabu changu lakini
alikwenda pia kuzungumza na Ahmed Rashad Ali na mwisho na Mwalimu
Nyerere
mwenyewe kuhusu historia ya TANU.

View attachment 1186477
Kushoto ni Prof. Haroub Othman, Ahmed Rashad Ali na Shekh Ahmed Islam
Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, 1997

Marehemu Prof Haroub Othman alinifundisha chuo kikuu UDSM somo linaitwa Development Studies (DS)!

Very very smart guy na mwalimu mzuri sana!

His classes were kid’s favorite!

RIP my nigga!
 
Hizo habari ulizoleta umezitoa wapi?
Kwenye maandiko mbalimbali ya Quran yanayosambazwa kwenye mitandao.
.
Kuna group niko la WhatsApp la Christians Vs Muslims hawa waislamu wanaeleza kwa undani kabisa hadi malengo ya dini na sio group la waswahili swahili wengi ni waarabu, wahabeshi na wazungu.
.
Usishangae hata mimi nina asili mojawapo kati ya hizo mbili za mwanzo ndio maana haijawa shida mimi kuwa huko
 
Narudia na nnaongezea Uislam maana nawe umeongeza na Uislam...

Ikiwa maana ya mkristo ni kumfata Yesu alayhi salaam basi Muislam ni Mkristo bora kabisa kuliko yeyote yule.

Muislam anatawadha kama alivyotawadha Yesu alayhi salaam, anaswali kama alivyoswali Yesu alayhi salaam anaamini Mungu mmoja kama wanavyoamini Waislam.

Ushahidi wote ndani ya biblia. Ukipenda anzisha mada.

Unafahamu maana ya neno Uislam?

Nini maana ya neno Uislam?

Nini maana ya neno Ukristo?

Hapa patamu sana.
Kama ni Boxing,tunaweza kusema umepiga chini ya mkanda!!!.
 
Back
Top Bottom