Binafsi naona kocha katuszingua tu shida yetu ni Mbeki,anyway anaweza akatuongezea kitu japo Si hitaji letuUsajiri mdogo ligi mbali mbali za ulaya katika hatua mwisho. Washika bunduki wa Highbury wamelamba dume kwa kumsajili kiungo wa Barcelona Denis Suarez..
View attachment 1009931
Taja mchezaji mwingine aliyesajiliwa kwa mkopo?