Denis Suarez wa Barcelona amejiunga na Arsenal

Denis Suarez wa Barcelona amejiunga na Arsenal

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Usajiri mdogo ligi mbali mbali za ulaya katika hatua mwisho. Washika bunduki wa Highbury wamelamba dume kwa kumsajili kiungo wa Barcelona Denis Suarez..

Screenshot_20190131-214418_Samsung Internet.jpg
 
Dogo kapoa kishenzi yani kama kalazimishwa kucheza mpira
 
Back
Top Bottom