Denis Urio, msiri wa Kingai, kwanini hajaletwa kizimbani wakati yeye ndiye source ya kesi ya Ugaidi?

Denis Urio, msiri wa Kingai, kwanini hajaletwa kizimbani wakati yeye ndiye source ya kesi ya Ugaidi?

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Wakuu, story ya kesi ya Ugaidi, kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake ni msiri wa Kingai ambaye ni Denis Urio!

Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!

Cha kushangaza, mpaka sasa mashahidi wa Jamuhuri wanatumia neno "Msiri" huku wakijisahaulisha kuwa mwanzoni mwa case hii Bwana Kingai alieleza information zote zilitoka kwa Denis Urio.

Pamoja na hayo, ulimwengu unastaajabu kuwa source wa hayo mambo (Denis Urio), anatajwa juu juu tu Mahakamani huku hakuna dalili ya kuitwa kwake kuja kutoa confirmation kuwa info alizitoa yeye, na yeye aliambiwa na watu gani?

Upande wa jamhuri wamepozi as if sio muhusika kabisaa kwenye kesi hii, na kubadili lugha eti msiri wa Kingai!

Nashauri wakili wa utetezi kuiomba mahakama ilazimishe kuletwa kwa huyu Denis Urio ili tujue mbivu na mbichi!
 
Denis Urio atakuja upande wa utetezi, pia inasemekana kuwa Urio aliwatafutia kazi kwa Nia njema tu. Lazimi wachawi wakina kingai, Jumanne na Mahita wakageuza kibao.

Ngoja tuone, hata Sirro alitwe. Ikiwezekana hata Samia aitwe maana alisema wenzake na Mbowe wamefungwa waitwe kwa Order ya mahakama aeleze maelezo nani aliyempa hizo info.
 
𝑲𝒘𝒂 𝒎𝒂𝒆𝒍𝒆𝒛𝒐 𝒚𝒂 𝒍𝒆𝒐 𝒚𝒂 𝒎𝒕𝒖𝒉𝒖𝒎𝒊𝒘𝒂 𝒎𝒎𝒐𝒋𝒂𝒘𝒂𝒑𝒐... 𝑫𝒆𝒏𝒊𝒔 𝑼𝒓𝒊𝒐 𝒏𝒂𝒚𝒆 𝒂𝒍𝒊𝒌𝒖𝒍𝒂 𝒎𝒊𝒌𝒂𝒛𝒐 𝒌𝒊𝒌𝒂𝒎𝒊𝒍𝒊𝒇𝒖!

𝑵𝑩: 𝑴𝒂𝒔𝒉𝒂𝒉𝒊𝒅𝒊 𝒘𝒂 𝒖𝒕𝒆𝒕𝒆𝒛𝒊 𝒏𝒂 𝒘𝒂𝒕𝒖𝒉𝒖𝒎𝒊𝒘𝒂 𝒘𝒂𝒌𝒊𝒋𝒊𝒑𝒂𝒏𝒈𝒂 𝒗𝒊𝒛𝒖𝒓𝒊 𝒌𝒖𝒋𝒊𝒃𝒖 𝒎𝒂𝒔𝒉𝒂𝒎𝒃𝒖𝒍𝒊𝒛𝒊 𝒃𝒂𝒔𝒊 𝒌𝒆𝒔𝒊 𝒊𝒏𝒂𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒄𝒉𝒂𝒑!
 
Denis urio mwenyewe alikula kipigo baada ya wale kina adam kumtaja kuwa aliwapea taarifa.

Nacho kiona urio itakua wale maafisa jeshi waliofika tazara waliamua kumchomoa sababu itakua alikua bado analihudumu jeshi.

Anaweza kuwa bado Mbweni
 
Kingai, Mahita, Urio nk bado niwateja wa mahakama kwenye kesi ya msingi.
 
Hapana lazima angeunganishwa kwenye kesi maana ata yule shahidi wa arusha walitoa jina lake baada ya kesi kutolewa kisutu

Hawa wana ma safe houses kama walikomuweka Mdude.

Labda hata kina Ben na Lijenje wako huko. Wakiona utawasumbua wanajiamulia cha kufanya.

Hawaaminiki hawa.
 
Hawa wana ma safe houses kama walikomuweka Mdude.

Labda hata kina Ben na Lijenje wako huko. Wakiona utawasumbua wanajiamulia cha kufanya.

Hawaaminiki hawa.
Umeacha kupambana na Corona sasa umehamia kwenye kupiga ramli chonganishi!
 
Umeacha kupambana na Corona sasa umehamia kwenye kupiga ramli chonganishi !!

Vipi mpambe kindaki ndaki wa mwendazake kwani mnaaminika?

IMG_20211015_144814_546.jpg

Chanjo nayo je ulishapata?

IMG_20211125_230622_748.jpg

Cc: Matola
 
Denis Urio atakuja upande wa utetezi, pia inasemekana kuwa Urio aliwatafutia kazi kwa Nia njema tu. Lazimi wachawi wakina kingai, Jumanne na Mahita wakageuza kibao.

Ngoja tuone, hata Sirro alitwe. Ikiwezekana hata Samia aitwe maana alisema wenzake na Mbowe wamefungwa waitwe kwa Order ya mahakama aeleze maelezo nani aliyempa hizo info.
Hahaa!!kwa mahakama zetu hizi kumuita rais aliyeko madarakani ni sawa na kuambiwa kamuite yesu!!!
 
Back
Top Bottom