Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ndiyo kwanza yameanza mkuu.Wakuu, story ya kesi ya Ugaidi , Kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake Ni msiri wa Kingai ambaye Ni Denis Urio!!
Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu Sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!
Cha kushangaza, mpaka Sasa mashahidi wa Jamuhuri wanatumia neno "Msiri" huku wakijisahaulisha kuwa mwanzoni mwa case hii Bwana Kingai alieleza information zote zilitoka kwa Denis Urio!
Pamoja na hayo, ulimwengu unastaajabu kuwa source wa hayo mambo ( Denis Urio) , anatajwa juu juu tu Mahakamani huku hakuna dalili ya kuitwa kwake kuja kutoa confirmation kuwa info alizitoa yeye, na yeye aliambiwa na watu gani!!?
Upande wa jamhuri wamepozi as if sio muhusika kabisaa kwenye kesi hii , na kubadili lugha eti msiri wa Kingai!
Nashauri wakili wa utetezi kuiomba mahakama ilazimishe kuletwa kwa huyu Denis Urio ili tujue mbivu na mbichi!!
Ni genge hili hili linaweza kujuwa Ben Sanane alipo?Kingai ndio alikuwa kiongozi wa lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Kundi hili ndio liliondesha unyama kwa wote waliokuwa wapingaji wa utawala wa Magufuli.
Ramadan kingaiWakuu, story ya kesi ya Ugaidi , Kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake Ni msiri wa Kingai ambaye Ni Denis Urio!!
Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu Sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!
Cha kushangaza, mpaka Sasa mashahidi wa Jamuhuri wanatumia neno "Msiri" huku wakijisahaulisha kuwa mwanzoni mwa case hii Bwana Kingai alieleza information zote zilitoka kwa Denis Urio!
Pamoja na hayo, ulimwengu unastaajabu kuwa source wa hayo mambo ( Denis Urio) , anatajwa juu juu tu Mahakamani huku hakuna dalili ya kuitwa kwake kuja kutoa confirmation kuwa info alizitoa yeye, na yeye aliambiwa na watu gani!!?
Upande wa jamhuri wamepozi as if sio muhusika kabisaa kwenye kesi hii , na kubadili lugha eti msiri wa Kingai!
Nashauri wakili wa utetezi kuiomba mahakama ilazimishe kuletwa kwa huyu Denis Urio ili tujue mbivu na mbichi!!
no wonder..... !!Ramadan kingai
Huyu ni mzaliwa wa bumbuli wilaya ya lushoto. Alimaliza na kufeli mitihani yake ya DARASA la saba miaka ya 1990. Anatokea familia masikini sana pale bumbuli. Alipomaliza shule familia haikuwa na la kufanya kwa maana ya kumuendeleza.
Kingai alichukuliwa na mzee makamba wakati huo akiwa mkuu wa mkoa kigoma nadhan
Huko bwana kingai anakijua alichofanya lakini alikuja kuibia UDSM (Ps& PA). Baada ya hapo aliingizwa polisi kama kijana wa makamba.
Ni mwana ccm mtiifu na ana akili kama za makamba.
Pamoja na mbwembwe zake zote, ndugu kingai bado familia yake ni masikini sana. Na hajajenga hata mji kwao
Kingai hashiriki mojakwamoja kwenye misiba ya jamaa na ndugu , yeye huishia kutoa pesa na kuondoka.
Ni muovu kama waovu wengine
Hii kesi ina mapungufu mengi sana. Yote yanatokea kwasababu ni kesi ya lubumbashi na kubambikiza haina ukweli wowoteWakuu, story ya kesi ya Ugaidi , Kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake Ni msiri wa Kingai ambaye Ni Denis Urio!!
Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu Sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!
Cha kushangaza, mpaka Sasa mashahidi wa Jamuhuri wanatumia neno "Msiri" huku wakijisahaulisha kuwa mwanzoni mwa case hii Bwana Kingai alieleza information zote zilitoka kwa Denis Urio!
Pamoja na hayo, ulimwengu unastaajabu kuwa source wa hayo mambo ( Denis Urio) , anatajwa juu juu tu Mahakamani huku hakuna dalili ya kuitwa kwake kuja kutoa confirmation kuwa info alizitoa yeye, na yeye aliambiwa na watu gani!!?
Upande wa jamhuri wamepozi as if sio muhusika kabisaa kwenye kesi hii , na kubadili lugha eti msiri wa Kingai!
Nashauri wakili wa utetezi kuiomba mahakama ilazimishe kuletwa kwa huyu Denis Urio ili tujue mbivu na mbichi!!
Aseme Mbowe ni gaidi.sasa kipigo cha informer kule kwenye gari sababu yake nini
Acha uongo lijenje yupo mtaani na mahakama imeshaambiwa
USSR
mahakama imeambiwa lini na nani??Acha uongo lijenje yupo mtaani na mahakama imeshaambiwa
USSR
Na ukweli huu ulikuwa unaleta maswali mengi kuhusu ukaribu wa Cardinal Pengo na huyu mtu ambaye kwa kipimo chochote, uovu wake ulikuwa wa kutiaha.Ni genge hili hili linaweza kujuwa Ben Sanane alipo?
Magufuli alikuwa ni shetani katika sura ya binaadam!
Kila Jumapili yupo kanisani na maigizo yake!
Tabu yote imeletwa na madai ya katiba mpya, shame governmentWakuu, story ya kesi ya Ugaidi , Kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake Ni msiri wa Kingai ambaye Ni Denis Urio!!
Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu Sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!
Cha kushangaza, mpaka Sasa mashahidi wa Jamuhuri wanatumia neno "Msiri" huku wakijisahaulisha kuwa mwanzoni mwa case hii Bwana Kingai alieleza information zote zilitoka kwa Denis Urio!
Pamoja na hayo, ulimwengu unastaajabu kuwa source wa hayo mambo ( Denis Urio) , anatajwa juu juu tu Mahakamani huku hakuna dalili ya kuitwa kwake kuja kutoa confirmation kuwa info alizitoa yeye, na yeye aliambiwa na watu gani!!?
Upande wa jamhuri wamepozi as if sio muhusika kabisaa kwenye kesi hii , na kubadili lugha eti msiri wa Kingai!
Nashauri wakili wa utetezi kuiomba mahakama ilazimishe kuletwa kwa huyu Denis Urio ili tujue mbivu na mbichi!!
Hatari snmahakama imeambiwa lini na nani??
Kumbe wewe huifuatilii hii kesi kwa kina,Liny'wenya anadai walipokua Tazara alimsikia Denis Urio akilia kwa nje,kutoonekana mahakamani inawezakana tayari alishavutaWakuu, story ya kesi ya Ugaidi , Kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake Ni msiri wa Kingai ambaye Ni Denis Urio!!
Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu Sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!
Cha kushangaza, mpaka Sasa mashahidi wa Jamuhuri wanatumia neno "Msiri" huku wakijisahaulisha kuwa mwanzoni mwa case hii Bwana Kingai alieleza information zote zilitoka kwa Denis Urio!
Pamoja na hayo, ulimwengu unastaajabu kuwa source wa hayo mambo ( Denis Urio) , anatajwa juu juu tu Mahakamani huku hakuna dalili ya kuitwa kwake kuja kutoa confirmation kuwa info alizitoa yeye, na yeye aliambiwa na watu gani!!?
Upande wa jamhuri wamepozi as if sio muhusika kabisaa kwenye kesi hii , na kubadili lugha eti msiri wa Kingai!
Nashauri wakili wa utetezi kuiomba mahakama ilazimishe kuletwa kwa huyu Denis Urio ili tujue mbivu na mbichi!!
Khaa! Ila kusema ukweli watu mna hasiraDenis Urio atakuja upande wa utetezi, pia inasemekana kuwa Urio aliwatafutia kazi kwa Nia njema tu. Lazimi wachawi wakina kingai, Jumanne na Mahita wakageuza kibao.
Ngoja tuone, hata Sirro alitwe. Ikiwezekana hata Samia aitwe maana alisema wenzake na Mbowe wamefungwa waitwe kwa Order ya mahakama aeleze maelezo nani aliyempa hizo info.
Wakimpanga itakuweje?Utetezi wasifunge sehemu yao ya ushahidi hadi pamoja na mambo mengine, Dennis Urio aletwe mahakamani.
Hamna ugaidi hapo mzee babaHuyu ndiye atafunga ushahidi wa UGAIDI, huyu ndiye aliyepangwa akapangika baada ya mateso makali aliyopata akaubali kuwa upande wa Jamhuri ili kuonyesha michoro yote ya namna mambo yalivyokuwa yamepangwa, kumbuka huyu ndiye aliyewapigia simu akina Adamoo kwamba kuna kazi ya VIP Protection kumlinda Mh. Mbowe.
Huyu ndiye kwa upande wa mashitaka ndiye silaha yao ya mwisho ya ushahidi yaani kwa kivita ndiyo B52 kombola lao la maangamizi. Kama hupo sudan atarudi tu, Jamhuri haijawahi kushindwa kumsafirisha shahidi muhimu kama huyo.
Swali Je, mpango huu haramu utafanikiwa? stay turned.