Denis Urio, msiri wa Kingai, kwanini hajaletwa kizimbani wakati yeye ndiye source ya kesi ya Ugaidi?

Mambo ndiyo kwanza yameanza mkuu.
Hukusikia leo Ling'wenya akisema alimsikia Urio akilia wakati alipokuwa Mbweni?
 
Informer alitoa taarifa yeye akiwa Kama Nani? Alizipata wapi? Na kwanini alionekana huko nyuma ya magari mabovu akilia,je alikua miongoni mwa watuhumiwa? Yuko wapi saivi? Kwanini hayuko miongoni mwa mashahidi.
 
Kingai ndio alikuwa kiongozi wa lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Kundi hili ndio liliondesha unyama kwa wote waliokuwa wapingaji wa utawala wa Magufuli.
Ni genge hili hili linaweza kujuwa Ben Sanane alipo?

Magufuli alikuwa ni shetani katika sura ya binaadam!

Kila Jumapili yupo kanisani na maigizo yake!
 
Urio ni shahidi upande wa Jamuhuri
 
Ramadan kingai
Huyu ni mzaliwa wa bumbuli wilaya ya lushoto. Alimaliza na kufeli mitihani yake ya DARASA la saba miaka ya 1990. Anatokea familia masikini sana pale bumbuli. Alipomaliza shule familia haikuwa na la kufanya kwa maana ya kumuendeleza.
Kingai alichukuliwa na mzee makamba wakati huo akiwa mkuu wa mkoa kigoma nadhan
Huko bwana kingai anakijua alichofanya lakini alikuja kuibia UDSM (Ps& PA). Baada ya hapo aliingizwa polisi kama kijana wa makamba.
Ni mwana ccm mtiifu na ana akili kama za makamba.
Pamoja na mbwembwe zake zote, ndugu kingai bado familia yake ni masikini sana. Na hajajenga hata mji kwao
Kingai hashiriki mojakwamoja kwenye misiba ya jamaa na ndugu , yeye huishia kutoa pesa na kuondoka.
Ni muovu kama waovu wengine
 
Huyu ndiye atafunga ushahidi wa UGAIDI, huyu ndiye aliyepangwa akapangika baada ya mateso makali aliyopata akaubali kuwa upande wa Jamhuri ili kuonyesha michoro yote ya namna mambo yalivyokuwa yamepangwa, kumbuka huyu ndiye aliyewapigia simu akina Adamoo kwamba kuna kazi ya VIP Protection kumlinda Mh. Mbowe.

Huyu ndiye kwa upande wa mashitaka ndiye silaha yao ya mwisho ya ushahidi yaani kwa kivita ndiyo B52 kombola lao la maangamizi. Kama hupo sudan atarudi tu, Jamhuri haijawahi kushindwa kumsafirisha shahidi muhimu kama huyo.

Swali Je, mpango huu haramu utafanikiwa? stay turned.
 
no wonder..... !!
 
Hii kesi ina mapungufu mengi sana. Yote yanatokea kwasababu ni kesi ya lubumbashi na kubambikiza haina ukweli wowote
 
Kwa utumbavu wako kwanini Moses Lijenje hajapandishwa kizimbani wakati tuhuma za ugaidi zinamuandama?

Tatizo la mijitu ya chama cha manzi mna chuki sana. Mko tayari kushabikia umwagikaji wa damu isiyo na hatia, kufungwa na kuwekwa ndani kwa kosa la kusingiziwa ili mradi tu mabosi wenu wameamua kufanya dhuluma nyie mazombie mtaitetea kwa nguvu zote dhuluma hiyo.

Hakika kwa namna mnavyofurahia mates ya wenye haki, Mungu baba wa mbinguni ambaye ndiye hakimu wa haki ataachilia kipigo na mapigo kwa vizazi vyenu vyote.

Mtapigwa na jua wakati wa mchana na mtapigwa na mwezi wakati wa usiku.

maisha yenu yanaenda kuwa damu.
Unabii huuu hautapita bure
Acha uongo lijenje yupo mtaani na mahakama imeshaambiwa

USSR
 
Ni genge hili hili linaweza kujuwa Ben Sanane alipo?

Magufuli alikuwa ni shetani katika sura ya binaadam!

Kila Jumapili yupo kanisani na maigizo yake!
Na ukweli huu ulikuwa unaleta maswali mengi kuhusu ukaribu wa Cardinal Pengo na huyu mtu ambaye kwa kipimo chochote, uovu wake ulikuwa wa kutiaha.

Au ukaribu wa Pengo kwa Magufuli ilikuwa ni kutii lile andiko lisemalo tabibu hayupo kwaajili ya wazima, bali wagonjwa? Uharamia wa marehemu ulivuka utu wa kawaida wa mwanadamu mwenye Roho wa Mungu.
 
Tabu yote imeletwa na madai ya katiba mpya, shame government
 
Kumbe wewe huifuatilii hii kesi kwa kina,Liny'wenya anadai walipokua Tazara alimsikia Denis Urio akilia kwa nje,kutoonekana mahakamani inawezakana tayari alishavuta
 
Khaa! Ila kusema ukweli watu mna hasira

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hamna ugaidi hapo mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…