Denis Urio, msiri wa Kingai, kwanini hajaletwa kizimbani wakati yeye ndiye source ya kesi ya Ugaidi?

Denis Urio na Moses lijenje huenda Hawa wote waliuwawa.
Ukiacha mohamed ling'wenya na adamoo ambao ni maaarufu kuna mtuhumiwa mwingine yeye hufungwa pingu peke yake naye ni commandoo? Anaitwa nani?
 
K
Kingai atajuta kuanzisha kesi za kishamba kama hizi hata kama kapewa ahadi na ccm ya kuwa igp ajae,hii kesi ni ya kubumba KILA Mtza anajua hilo.
Kingai ana umri gani?
Ili uwe RPC nivigezo gani huzingatiwa?
Nani huwa anawateua Ma RPC?
 
K

Kingai ana umri gani?
Ili uwe RPC nivigezo gani huzingatiwa?
Nani huwa anawateua Ma RPC?
Uwezo wako binafsi tu wa kuwashughulikia wapinzani na kuipa ccm ushindi ni cv tosha, mengine ni chachandu tu
 
Huyu mtu wa ndani wa CDM anaye tajwa kama shahidi wa jamhuri ni nani??
 
Acha uongo lijenje yupo mtaani na mahakama imeshaambiwa

USSR
Mtaani tena?Mtuhumiwa wa ugaidi anaachwa mtaani azurure wakati ndo miongoni mwa waliokuwa wakitafutwa.
 
Utetezi wasifunge sehemu yao ya ushahidi hadi pamoja na mambo mengine, Dennis Urio aletwe mahakamani.
Mtetezi wa mbowe gaidi, dalali wa chanjo.yote umejuvisha ww......sikupendi ww basi tu.Nakuchukia sana tangu kipindi unadalalia chanjo.sijui ulikula milioni ngapi!!
 
Kwa taarifa za uhakika Denis urio yupo Sudan eneo la Darfur kama peacekeeper

USSR
Uko uko alipopelekwa kimkakati maana yeye ndiyo aliyepanga jinsi ya kutengeneza ugaidi feki kwa kutumwa atapata malipo yake. Peacekeeper gani mshenzi Kama huyo.
 
Huyo urio anaonekana ana Mambo ya kike sana
ninachoshangaa mimi taarifa amewapa yeye ya kuwapa kazi hao akina Adamoo,Sasa tena uyouyo Urio anakuja kukamatwa na kupewa kipigo kama watuhumiwa walivyokamatwa,Inakuwaje hapo
 
Kingai ndio alikuwa kiongozi wa lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Kundi hili ndio liliondesha unyama kwa wote waliokuwa wapingaji wa utawala wa Magufuli.

Wasiojulikana wamejulikana kabisaaa
 
Kingai ndio alikuwa kiongozi wa lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Kundi hili ndio liliondesha unyama kwa wote waliokuwa wapingaji wa utawala wa Magufuli.
Mzee hii ni kama inaukweli kaka
 
Lakini "utabibu"wa tabibu na mgonjwa wake una mipaka yake tofauti kabisa na mahusiano aliyokuwa nayo Pengo na huyo mtu. Hawa viongozi wengi wa dini wamejiharibia sana sifa zao na dini zao kwa mahusiano ya namna hii.
 
Hii kesi inazua maswali mengi sana. Watuhumiwa wanadai hawakufikishwa Police Central Dar es Salaam, bali Kituo cha Polisi Tazara na kisha kupelekwa Mbweni. Mashahidi wa Jamhuri wanadai walifikishwa Police Central Dar es Salaam na kisha kupelekwa Mbweni. Nani anayesema ukweli?
 
ninachoshangaa mimi taarifa amewapa yeye ya kuwapa kazi hao akina Adamoo,Sasa tena uyouyo Urio anakuja kukamatwa na kupewa kipigo kama watuhumiwa walivyokamatwa,Inakuwaje hapo
Mkuu hujui kama kulikuwa na Mambo ya udukuzi chini ya yule Msepazake.
Nazani Simu zote za kupiga na kupokea za Mbowe zilikuwa zikifuatiliwa kujua majadiliano. Ndio yakaja huko yalipo fikia Sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…