Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

Denmark kufunga Ubalozi wake nchini Tanzania ifikapo 2024

John7371

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
2,994
Reaction score
6,676
Denmark itafunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati ikibadilisha mfumo wake wa mashirikiano ili kutekeleza vipaumbele vya serikali. Nchi hiyo imesema kujipanga upya kutachangia utekelezaji wa mkakati wake mpya wa maendeleo na ushirikiano.

Waziri wa Mambo ya nje Jeppe Kofod alisema Upangaji huu upya ni kusaidia juhudi za nchi hiyo inazofanya nyumbani na duniani ili kuleta mabadiliko makubwa iwezekanavyo.

"Kipaumbele changu kama Waziri wa Mambo ya nje ni kuhakikisha usalama wa watu wa Denmark katika ulimwengu ambao demokrasia, haki za binadamu, na madili yetu vinakandamizwa.", amesema Bw. Kofod

Tanzania na Denmark zimekuwa na uhusiano mzuri katika miaka iliyopita. Wanasiasa wengi, maafisa wa serikali, wanasayansi, wafanyabiashara, viongozi wa dini na watendaji wa asasi za kiraia kutoka mataifa husika wameunda uhusiano wa karibu na kushiriki mazungumzo yenye tija.

Tanzania ndiyo nchi ya kwanza ya Kiafrika ambayo Denmark ilianzisha nayo ushirikiano wa kutoa misaada ya kimaendeleo mnamo 1963, muda mfupi baada ya Tanzania (wakati huo Tanganyika) kupata uhuru.

=====

kofod.jpg

Denmark's Foreign Affairs Minister Jeppe Kofod in Copenhagen on August 13, 2021

Denmark will close its embassies in Tanzania as it restructures its foreign service in order to deliver on the government’s priorities, it announced Friday.In the statement seen by The EastAfrican, Denmark said the reorganisation will contribute to the implementation of the country’s new strategy for development cooperation.

“This reorganisation is to help us target the efforts we make, both here at home and out in the world, so that we can make the biggest possible difference,” Foreign Affairs Minister Jeppe Kofod said.

“My first priority as Minister of Foreign Affairs is to ensure the security and safety of the Danish people in a world where democracy, human rights, and our values are coming under increasing pressure.”

Tanzania and Denmark have enjoyed outstanding relations over the years. Many politicians, government officials, scientists, businesspeople, religious leaders and civil society actors from respective nations have formed close relations and engaged in constructive and lively discussions.

The East African nation was the first African country with which Denmark initiated a development assistance partnership in 1963 shortly after the Tanzanian mainland, called Tanganyika, became independent.

Source: The East African
 
Wapo sahihi kabisa. Siyo kitu kirahisi kuwa na balozi kwenye nchi zenye ugaidi kama Tanzania.

Si kuna watu kadhaa wapo lockup kwa tuhuma za ugaidi? Na juzi pia gaidi Hamza si aliuweka ubalozi wa ufaransa under presha hadi mlizi wao akauawa?

Nashauri pia nchi nyingine za Ulaya na Marekani wafunge balozi zao pia kwa sababu kuna threat kubwa sana ya security Tanzania kutokana na ugaidi.
 
This is just a diplomatic language but there must be other serious unsaid reasons....

Can it be due to deteriorating Tanzania's International diplomacy under deceased Magufuli administration and as for now under Samia Suluhu?
Mwaka jana walishatuweka kwenye mpango wa kupunguziwa au kukatiwa misaada kutokana na kuzorora kwa demokrasia nchini
 
Wapo sahihi kabisa.Siyo kitu kirahisi kuwa na balozi kwenye nchi zenye ugaidi kama Tanzania.


Si kuna watu kadhaa wapo lockup kwa tuhuma za ugaidi?Nashauri pia nchi nyingine za Ulaya na Marekani wafunge balozi zao pia kwa sababu kuna threat kubwa sana ya security Tanzania kutokana na ugaidi.

Capture12.PNG
 
Back
Top Bottom