Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
- Thread starter
-
- #21
My friend, Tatizo la lugha limekukumba... Kichwa cha habari hakiendani na kilichoandikwa. Usikurupuke!
Scientists on brink of HIV cure
Researchers believe that there will be a breakthrough in finding a cure for HIV within months.
dawa ilishapatikana ni kung'atwa na nyuki mwili mzima ile sumu yao inauwezo wa kuvidhoofisha na kuviua vijidudu vya ukimwi
hivyo wazinzi mjipange kukutana na mizinga ili mpone
Tangu waseme dawa zitagunduliwa ni siku mingi...!
ikipatikana hakika wazinzi wataandamana kushangilia sipati picha machangu watakavyofurahia maana wale wateja wanaopenda kununua ila wanaogopa ngoma sasa watajitosa,ila pia wapo ambao vibarua vitaota nyasi,maana kwa gonjwa hili watu kibao wamelamba ajira kupitia ngo.
dawa ilishapatikana ni kung'atwa na nyuki mwili mzima ile sumu yao inauwezo wa kuvidhoofisha na kuviua vijidudu vya ukimwi
hivyo wazinzi mjipange kukutana na mizinga ili mpone
Wako kwenye mchakato lakin hawajawa na uhakika wa dawa hyo kutibu HIV!
Itakuwa vyema sana...
Watunga sheria tunakutana nao pale kona bar na Chako ni chako busy ku-bargain,Jamani, jamani pamoja na kuwepo ukimwi watu sasa hivi wanavaa nguo transparent mpaka manyoya yanaonekana sehemu ya katikati ili afanye biashara sasa hiyo dawa ikipatikana itakuwaje? mimi naomba sharia ianze kutumika kabla hata dawa haijafika