Denmark wagundua Dawa ya UKIMWI/HIV/AIDS, Kusambazwa punde, ARV basi

Denmark wagundua Dawa ya UKIMWI/HIV/AIDS, Kusambazwa punde, ARV basi

Scientists on brink of HIV cure
Researchers believe that there will be a breakthrough in finding a cure for HIV “within months”.

Believing and bringing the believe to reality are two separate things! Although there is a breakthrough, that does not mean they have already find a solution! Your thread's headline is misleading!
 
dawa ilishapatikana ni kung'atwa na nyuki mwili mzima ile sumu yao inauwezo wa kuvidhoofisha na kuviua vijidudu vya ukimwi

hivyo wazinzi mjipange kukutana na mizinga ili mpone

unamawazo madogo sana ukimwi si kwenye uzizi tu mkuu kuna watu wamezaliwa na hiv so tafakari kbla ujachangia...
 
Tangu waseme dawa zitagunduliwa ni siku mingi...!

Jamani, jamani pamoja na kuwepo ukimwi watu sasa hivi wanavaa nguo transparent mpaka manyoya yanaonekana sehemu ya katikati ili afanye biashara sasa hiyo dawa ikipatikana itakuwaje? mimi naomba sharia ianze kutumika kabla hata dawa haijafika
 
ikipatikana hakika wazinzi wataandamana kushangilia sipati picha machangu watakavyofurahia maana wale wateja wanaopenda kununua ila wanaogopa ngoma sasa watajitosa,ila pia wapo ambao vibarua vitaota nyasi,maana kwa gonjwa hili watu kibao wamelamba ajira kupitia ngo.

Sasa hivi kuna drug resistant bacteria na cancer causing sexually transmitted diseases, kwa hiyo hata dawa ya HIV/AIDS ikigunduliwa kesho, mchezo unabaki palepale.

People are so focused on AIDS to the extent that this focus is diminishing the dangers of drug resistant bacteria.

Even HIV itself has several strain and is likely to evolve faster than we could keep up.
 
dawa ilishapatikana ni kung'atwa na nyuki mwili mzima ile sumu yao inauwezo wa kuvidhoofisha na kuviua vijidudu vya ukimwi

hivyo wazinzi mjipange kukutana na mizinga ili mpone

Come on! HIV sio kwa wazinzi tu ni tatizo la jamii nzima. Usipolipata wewe kwa kuwa unadhani wewe sio mzinzi atalipata dada yako toka kwa mumewe. Je utasema dada yako ni mzinzi? Je? Hutamhudumia matibabu na kumpa chakula? Je? Mwanao wa kumzaa akibakwa na wahuni wasiojulikana akaambukizwa utasema nae ni mzinzi? Je? Ukipata ajali ukawekewa damu yenye virusi pia utajiita mzinzi. Ungekuwa umeenda shule kidogo tu usingeandika ujinga.
 
Aaah!Tumeshachoka na hizi porojo!Hata babu Ambilikile Masapila wa loliondo alisema ameipata na watu wakajitangaza kuwa wamepona lakini kiko wapi?
 
Itakuwa vyema sana...


Wewe acha tu...

Huwa nikiwaona jamaa wanakula vidonge...pamoja na kuwaonea huruma, hutamani kuwambia kuwa wana bahati sana. Kuna ndugu na marafiki zangu kibao ambao walitangulia katika miaka ile ambayo hata hizo ARVs hazikuwepo.

Nadhani siku ikipatikana tiba itabidi dunia nzima ifanye sherehe.
 
red yaonyesha bado ni hatua za mwanzo za kitafiti na sio concluded breakthrough. Hiyo heading imekuwa twisted kuvutia wasomaji. its another trial like millions nyingine.
 
I hope kama walivyoweza kupata chanjo ya polio na ndui ilisumbua sana dunia basi siku moja watapata chanjo ya VVU. Kuna rafiki yangu ana VVU aliipata bila kosa, so sad. Yaani ingetoka tu tunachanga na tunamnunulia!!!! Hivi wakuu inakuwaje unaoa mke, unampa mtaji wa Biashara tena kusafiri nje ya nchi na mkoa unaoishi, kumbe huko njiani anapata mshikaji mwanaume mfanyabiashara!!! Mwishowe anakuletea VVU na ana admit na kuomba msamaha? Utasemehe au utafanyaje? Ni kitendawili sana kwa dada na mama zetu wanaosafiri mara China,mara wapi!!! tunzeni ndoa zenu!!!! Kuna case mbaya sana kuhusiana na hisi safari za China mara wapi ila hapa si mahali pake. Inauma sana.
 
Jamani, jamani pamoja na kuwepo ukimwi watu sasa hivi wanavaa nguo transparent mpaka manyoya yanaonekana sehemu ya katikati ili afanye biashara sasa hiyo dawa ikipatikana itakuwaje? mimi naomba sharia ianze kutumika kabla hata dawa haijafika
Watunga sheria tunakutana nao pale kona bar na Chako ni chako busy ku-bargain,
Hakuna wa kufunga paka kengele, labda kiunafiki, kama ilivyo sheria na taratibu za manunuzi!
 
Mnapewa matumaini ili muendeleze zinaa
 
Back
Top Bottom