Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
kashasha ndo namkubali,analugha za kimpira
Kweli kabisa, mwalimu Kashasha yuko vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kashasha ndo namkubali,analugha za kimpira
The bubble ipo kwenye imagination zako
nimeleta hii thread nikijua kabisa wapo watu JF watachangia frpm both angles
watakaopinga na kutaja wengine i expected that.....
this is JF where we dare to talk openly...
ukimtoa Dr leackey Abdalah na Edo kumwembe Dennis Kitambi ndiye mchambuzi bora kuliko wote Tanzania
kitambi ni mchemfu sana na huwezi kujua kama ni kocha pia hana utulivu ,mara nyingi anadakia mambo na kuanza kubisha bila kuwa na pointi ,tukubali tukatae Gef lea ndiye mchambuzi bora
Huyu jamaa naona ndie mchambuzi bora kuliko wote wa mpira TZ
anaujua mpira
hana sifa na mbwembwe za kijinga
nimesikia pia ni kocha sijui anafundisha wapi na ana historia ipi
ya mpira but so far hakuna anaeweza kubisha uwezo wake wa kuchambua mpira

vipi kuhusu jeff leah ?

Nakubaliana kabisa, Kitambi ni mchambuzi mzuri hasa kwenye kuelezea matukio. Wachambuzi wengi wa nchini wanashindwa kuelezea matukio zaidi ya kutoa mifano mingi kupitiliza ya Ligi za Nje.
Badala ya kuulezea kitu, wachambuzi wanajigeuza google na kutoa mifano mpaka inachosha.
Pia Kitambi anajitofautisha kwa kuelezea matukio au mpira bila kutumia 'cliches' kama ilivyo ada kwa wachambuzi wengi wa nchini.
alikuwa kocha wa Timu ya Ndanda, ikawa ktk hali mbaya wakamtimua, na alikuwa anaamini sana nguvu za giza, siku wanakwenda kucheza na mtibw huko manungu, aliwatembeza wachezaji wake karibu km. 8, polini eti kukwepa misumali (ndumba) ya mtibwa, barabarani!! wakafika uwanjani too late hata muda wa kula hamna wakaingia uwanjani wakachezea 4!!
Hata hao walikuwa wataalamu wametokea huku hakuna aliyezaliwa na kujua kitu bila kujifunza....... dhamini cha kwako.... mcheza kwako hutunzwa....Ukitaka kuona watu wenye fani zao angalia super sports, au skysports, sio hawa waganga njaa tu. We kila mtu amekuwa football analyst!!! bora hata mbwiga ye ame specialise kwenye ndondo, na anaweza.
Anafundisha wapi?
kitambi ni mchemfu sana na huwezi kujua kama ni kocha pia hana utulivu ,mara nyingi anadakia mambo na kuanza kubisha bila kuwa na pointi ,tukubali tukatae Gef lea ndiye mchambuzi bora