dental formula yako inavutia? Leo nimeambiwa nina dental formula nzuri

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Nilikua naongea na mdada (co-worker), sasa akawa ananiangalia sana kama kuna kitu ame note, baada ya muda akaniuliza, nikuambie kitu? nikamwambia sawa nambie, akasema yani una dental formula nzuri kweli, we unajua maana ya dental formula? majua kuna watu wengi humu hawajui maana ya dental formula.

kila siku napata sifa mpya, vipi dental formula yako ikoje?
 
Mwanaume kabisa unaandika kitu kama hiki? Au we ni Mwanaume wa Dar?
 
 
Asee sister una vituko!
 
Hiyo dental formula yako nzuri uliyonayo inatusaidia nini sisi? Ama imesaidia nini kwenye hili taifa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…