Habar wadau hapa jamvini mimi niliwahi kung'oa jino la mbele miaka mitano iliopita nikawa natumia jino la bandia ila hivi karibuni nilisikia habar ya dental implant nikaona pengine ni nzur zaid sasa je mimi naweza nikafanya? saivi nipo dodoma vipi clinic inayofanya hapa dodoma na je shida zozote zinazosababishwa nayo ni nini??AHSANTEN