Mwezi uliopita nilipata accident nikang'oka meno mawili, baada ya tiba nikaulizia meno, nikaambiwa yale ya kuweka na kutoa moja ni 40k na permanent ni 100k, nimeweka ya kuchomoa ila ndani ya hizi wiki mbili nishachoka, yanafanya hadi nashindwa kuongea, sasa nina mpango wa kucheki hayo ya kudumu!