Dentist about crown

Dentist about crown

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
nahitaji kusahidiwa kujua gharama ya ku crown meno/jino kwa hapa tanzania and how long wiil it last long:angry::angry:
 
Mwezi uliopita nilipata accident nikang'oka meno mawili, baada ya tiba nikaulizia meno, nikaambiwa yale ya kuweka na kutoa moja ni 40k na permanent ni 100k, nimeweka ya kuchomoa ila ndani ya hizi wiki mbili nishachoka, yanafanya hadi nashindwa kuongea, sasa nina mpango wa kucheki hayo ya kudumu!

mmh mkuu izo 50k sijakusoma... ila mi tatizolangu yapo mawili yametoboka
 
Back
Top Bottom