BYD naona wana showroom yao vingunguti pale naamini wachina ni hatari kwenye marketingHivi BYD zishafika bongo?
Kusalimu amri kwa namna ipi mkuu??76,000$ ~186,322,644tshs hapo bado TRA hawajakusalimia tajiri. Wachina wametuonyesha hakuna linaloshindikana bado kidogo mataifa ya ulaya watasalimu amri
gari za ulaya zinaoneka ndio za kisasa kwa upande wa technologyKusalimu amri kwa namna ipi mkuu??
Maana sisi sio wateja wa vitu vyao.
πππ Ni Chery Fengyun X3L ilitaka kupanda Heaven Gate Mountain mwezi Nov. Walitaka kumuiga Range Rover alivopanda. Waliaibika vibaya.Kuna siku BYD ilijifanya inapandisha zile ngazi za china kuonesha wao wanaweza ilichemsha na aibu.
Mimi hata ndege zao walizotengeneza zinanipa wasiwasi kama spika za kutembea.
Hao jamaa kwenye ulimwengu wa EV wamekuja na balaa laoNimekubali. Nitaenda wauliza bei one day
Oyaa angalia kwenye hiyo top 20, Mchina peke yake ana brands 9 zinazofanya vizuriMtamuua Mzungu..View attachment 3513968
Ngoja tuone kama tunaweza kumudu mwakaniView attachment 3513946
Ndio mkali.
Ndio ndiogari za ulaya zinaoneka ndio za kisasa kwa upande wa technology