Deo bagamoyo liangalie hili la kunifungia mshahara miaka 2 sasa

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Nimetumikia serikali miaka4 nikaomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa .ila wapo walimu pale Bagamoyo wamefundisha miaka2 na wamepewa ruhusa ,DEO Unanionea sana kwa sababu wewe umeshika makali.Eti niahirishe mwaka,iyo kitu ngumu sana mana Ulipojua naenda kusoma ukanihamisha na ikumbukwa MATIPWILI SEC Ni porini hakunaga mpaka Nyani ewnywewe wanapakimbia.Nikavumilia Shida za kule nikakaa miaka4, leo hii nanyimwa Pesa Zangu miaka2 na sijapewa Barua ya kusimamishiwa Mshahara wala kufukuzwa kazi ama Onyo,Msiendeshe Mambo kibabe na kienyeji kisa we umeshika Mpini,Hizo ni ofisi ni kama siti za Basi Hutazikwa na hiyo nafasi,Wangapi walikua MADEO Na leo hii wa kwapi,Tenda haki,mimi nimetimiza wajibu na kwanini ninyimwe haki ,NINA UCHUNGU SANA KWA UNYAMA HUU,SINA UWEZO WA KUSHINDANA NA SERIKALI,HIKI NI KILIO CHA MTOTO YATIMA NAKOMAAMWAZO MWISHO NA KUTAFUTA KABACHELA NA NITATOKA LABDA NIFE.
 
:closed_2::A S confused:
 
mh! Uzuri hujatukana ila nipm mdogo wangu.
kumbe na wewe yatima,pole.ila mie najua kuwa mtu akipitisha miaka 18 hata kama kafiwa na wazazi hastahili kuitwa yatima.mie pia nafanya kazi serikalini,matatizo hayo yapo sana.........ukiwa na hasira sana utaishia kuumia mwenyewe.mie nakushauri fuata taratibu,ngazi kwa ngazi mpaka ujue hatima yako.........vinginevyo jitahidi kujiendeleza tena na tena kielimu kwani ndio njia ya uhakika ya kuondokana na manyanyaso,pole tena.
 
Ani wananipa Stress acha
 
Kaa chini utafakari ili uweze kupigania haki yako.Vilevile wahusishe CWT katika kudai haki zako.Vilevile ikiwa umeondoka kwenda kusoma bila ya ruhusa ya mwajiri inakuwa ngumu kupata haki zako.
 

Hivi siku hizi uchawi umeisha!?? au nayeye ni mzito sana!??
 


pole sana ndugu yangu, ukiona ma D.E.O wa dizain hzo ujue wametokea katika familia duni sana, nimeona wengi hawatumii hakili kufikiria bali makalio. Kama unamzuia mwalimu kwenda kusoma huo kama sio uendawazimu ninini? Hiyo sio akili bali matope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…