BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,950
- 11,295
Nimetumikia serikali miaka4 nikaomba kwenda kusoma nikanyimwa ruhusa .ila wapo walimu pale Bagamoyo wamefundisha miaka2 na wamepewa ruhusa ,DEO Unanionea sana kwa sababu wewe umeshika makali.Eti niahirishe mwaka,iyo kitu ngumu sana mana Ulipojua naenda kusoma ukanihamisha na ikumbukwa MATIPWILI SEC Ni porini hakunaga mpaka Nyani ewnywewe wanapakimbia.Nikavumilia Shida za kule nikakaa miaka4, leo hii nanyimwa Pesa Zangu miaka2 na sijapewa Barua ya kusimamishiwa Mshahara wala kufukuzwa kazi ama Onyo,Msiendeshe Mambo kibabe na kienyeji kisa we umeshika Mpini,Hizo ni ofisi ni kama siti za Basi Hutazikwa na hiyo nafasi,Wangapi walikua MADEO Na leo hii wa kwapi,Tenda haki,mimi nimetimiza wajibu na kwanini ninyimwe haki ,NINA UCHUNGU SANA KWA UNYAMA HUU,SINA UWEZO WA KUSHINDANA NA SERIKALI,HIKI NI KILIO CHA MTOTO YATIMA NAKOMAAMWAZO MWISHO NA KUTAFUTA KABACHELA NA NITATOKA LABDA NIFE.