Deo Kanda wa TP Mazembe ajiunga Simba Sc kwa mkopo

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
winger wa tp mazembe aliyewahi kuchezea Raja casablanca ya morroco amejiunga simba kwa mkopo kwa mujibu wa post ya instagram ya mazembe wamemtakia kila la kheri
(simba leo tumewawahi hakuna cha kusubiri saa saba,poleni kina magori mazembe wameondoa suprise)
Capture.JPG
 
😜😜😜😜 msimu ujao nategemea kuona ligi ya moto, sitegemei kusikia malalamiko ya ajabu ya Zahera.

Faruku shikawe (hili jina la mwisho kama nimekosea mnisahihishe) tayari kasaini yanga miaka miwili.
Metacha nata kasaini yanga miaka miwili.

Maji ya mdimu maji ya mdimuuuu kubikaaaa kubuaaaa
Thomas Ulimwengu anatambulishwa na Yanga jumatatu.

Maji ya mdimu maji ya mdimuuu kubikaaaa kubuaaaa Mreno anatua mjini jumatatu anamwaga wino Msimbazi Simba itakuwa ya moto sana huku wabrazil kule mreno hawa wote wanazungumza lugha moja SIMBAAAA
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] msimu ujao nategemea kuona ligi ya moto, sitegemei kusikia malalamiko ya ajabu ya Zahera.

Faruku shikawe (hili jina la mwisho kama nimekosea mnisahihishe) tayari kasaini yanga miaka miwili.
Metacha nata kasaini yanga miaka miwili.

Maji ya mdimu maji ya mdimuuuu kubikaaaa kubuaaaa
Thomas Ulimwengu anatambulishwa na Yanga jumatatu.

Maji ya mdimu maji ya mdimuuu kubikaaaa kubuaaaa Mreno anatua mjini jumatatu anamwaga wino Msimbazi Simba itakuwa ya moto sana huku wabrazil kule mreno hawa wote wanazungumza lugha moja SIMBAAAA
zahera akifunga anakuwa mlalamishi kama klop
 
Noma Sana! Muhimu michuano mikubwa hasa CACL tufanye vizuri
katika sajili nilizopenda na nina uhakika nazo ni ya huyu jamaa mcongo maana tunahitaji speed ya winger pembeni ,kakolanya na msudani,kahata na kidogo kennedy wa singida hao wabrazil jamani naomba atokee kiongozi mmoja awapeleke kwa mganga kabisa kama hawajajipanga watageuka kuwa jaja
 
Kwa usajili huu simba msimu ujao ni moto,,
Wamalizie tu na yule muispania na mreno wafunge kazi,
 
😜😜😜😜 msimu ujao nategemea kuona ligi ya moto, sitegemei kusikia malalamiko ya ajabu ya Zahera.

Faruku shikawe (hili jina la mwisho kama nimekosea mnisahihishe) tayari kasaini yanga miaka miwili.
Metacha nata kasaini yanga miaka miwili.

Maji ya mdimu maji ya mdimuuuu kubikaaaa kubuaaaa
Thomas Ulimwengu anatambulishwa na Yanga jumatatu.

Maji ya mdimu maji ya mdimuuu kubikaaaa kubuaaaa Mreno anatua mjini jumatatu anamwaga wino Msimbazi Simba itakuwa ya moto sana huku wabrazil kule mreno hawa wote wanazungumza lugha moja SIMBAAAA
Gadiel nasikia kasaini Mikia FC.
 
katika sajili nilizopenda na nina uhakika nazo ni ya huyu jamaa mcongo maana tunahitaji speed ya winger pembeni ,kakolanya na msudani,kahata na kidogo kennedy wa singida hao wabrazil jamani naomba atokee kiongozi mmoja awapeleke kwa mganga kabisa kama hawajajipanga watageuka kuwa jaja
Umejuaje ..sisi watoto wa Tandika Tambuka Reli tukisema mtasema wajinga ,unafikiri Jaja alikuwa bomu kiasi kile ,Dar inawenyewe bana,hivi unafikiri Gyan alishindwa nini kucheza kule mbele! Asingewahi kuja kwetu Tandika angekuwa Kinyozi huko kwao sasa hivi,kwa kuwa Babu alimuwahi ndio maana kaikipaji kakabaki kidogo!
 
Back
Top Bottom