Kipindi hiki cha usajili ndo nimeona kua simba ni timu kubwa Tanzania, kila mchezaji wanaemtangaza simba haraka haraka takwimu zake zinatafutwa either kwa nia njema au mbaya ili kuwananga waliohusika kusajili.
Kuna wale sasa kutoka Vyura fc, wamekusanya watu lakini hatuoni takwimu zao zikiletwa. Hiyo inaonesha jinsi gani hiyo timu haina umuhimu mana haiwezi kulisaidia taifa Kwenye mashindano ya kimataifa, wao level zao akina majimaji fc,stand utd
Tukutane msimu ujao