Deo Kanda wa TP Mazembe ajiunga Simba Sc kwa mkopo

Deo Kanda wa TP Mazembe ajiunga Simba Sc kwa mkopo

Kipindi hiki cha usajili ndo nimeona kua simba ni timu kubwa Tanzania, kila mchezaji wanaemtangaza simba haraka haraka takwimu zake zinatafutwa either kwa nia njema au mbaya ili kuwananga waliohusika kusajili.
Kuna wale sasa kutoka Vyura fc, wamekusanya watu lakini hatuoni takwimu zao zikiletwa. Hiyo inaonesha jinsi gani hiyo timu haina umuhimu mana haiwezi kulisaidia taifa Kwenye mashindano ya kimataifa, wao level zao akina majimaji fc,stand utd

Tukutane msimu ujao
 
Deo Kanda kama anakuja akiwa fit ,na bado akabaki na nidhamu ,ni mchezaji mzuri ingawa Mazembe muda tu hajaavaa jezi

Nimesoma kwenye taarifa naona wanaeleza zaidi mfanikio yake kwenye ligi ya mabingwa mnamo mwaka 2009 na 2013.... nini kilimpata Deo hapa katikati ? Alikua regular starter pale Mazembe ? Kama hapana kwanini hakuondoka au kutemwa na TP..... Najua wewe ni mtu sahihi sana wa kunijibu hili.... Am worried
 
Back
Top Bottom