nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
zahera akifunga anakuwa mlalamishi kama klop[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] msimu ujao nategemea kuona ligi ya moto, sitegemei kusikia malalamiko ya ajabu ya Zahera.
Faruku shikawe (hili jina la mwisho kama nimekosea mnisahihishe) tayari kasaini yanga miaka miwili.
Metacha nata kasaini yanga miaka miwili.
Maji ya mdimu maji ya mdimuuuu kubikaaaa kubuaaaa
Thomas Ulimwengu anatambulishwa na Yanga jumatatu.
Maji ya mdimu maji ya mdimuuu kubikaaaa kubuaaaa Mreno anatua mjini jumatatu anamwaga wino Msimbazi Simba itakuwa ya moto sana huku wabrazil kule mreno hawa wote wanazungumza lugha moja SIMBAAAA
Noma Sana! Muhimu michuano mikubwa hasa CACL tufanye vizuriMsimu ujao utakuwa wa moto aisee
katika sajili nilizopenda na nina uhakika nazo ni ya huyu jamaa mcongo maana tunahitaji speed ya winger pembeni ,kakolanya na msudani,kahata na kidogo kennedy wa singida hao wabrazil jamani naomba atokee kiongozi mmoja awapeleke kwa mganga kabisa kama hawajajipanga watageuka kuwa jajaNoma Sana! Muhimu michuano mikubwa hasa CACL tufanye vizuri
Ha ha haaaa hata Lunyamila mwaka 1999 aliwatesa sana Sc villaMwaka 2011 aliwatesa sana Simba
Au wewe unashindwa kuelewa kua wengi wa waliotangazwa ni wa kuongeza mkataba?Simba ni kama wanasajili timu mpya! Hivi ni tamaa au?
Gadiel nasikia kasaini Mikia FC.ππππ msimu ujao nategemea kuona ligi ya moto, sitegemei kusikia malalamiko ya ajabu ya Zahera.
Faruku shikawe (hili jina la mwisho kama nimekosea mnisahihishe) tayari kasaini yanga miaka miwili.
Metacha nata kasaini yanga miaka miwili.
Maji ya mdimu maji ya mdimuuuu kubikaaaa kubuaaaa
Thomas Ulimwengu anatambulishwa na Yanga jumatatu.
Maji ya mdimu maji ya mdimuuu kubikaaaa kubuaaaa Mreno anatua mjini jumatatu anamwaga wino Msimbazi Simba itakuwa ya moto sana huku wabrazil kule mreno hawa wote wanazungumza lugha moja SIMBAAAA
Mikia ni timu gani na inashiriki ligi ya wapi?Gadiel nasikia kasaini Mikia FC.
Umejuaje ..sisi watoto wa Tandika Tambuka Reli tukisema mtasema wajinga ,unafikiri Jaja alikuwa bomu kiasi kile ,Dar inawenyewe bana,hivi unafikiri Gyan alishindwa nini kucheza kule mbele! Asingewahi kuja kwetu Tandika angekuwa Kinyozi huko kwao sasa hivi,kwa kuwa Babu alimuwahi ndio maana kaikipaji kakabaki kidogo!katika sajili nilizopenda na nina uhakika nazo ni ya huyu jamaa mcongo maana tunahitaji speed ya winger pembeni ,kakolanya na msudani,kahata na kidogo kennedy wa singida hao wabrazil jamani naomba atokee kiongozi mmoja awapeleke kwa mganga kabisa kama hawajajipanga watageuka kuwa jaja