Deo Kisandu a.k.a Don Nalimson kuipamba Yanga day

Deo Kisandu a.k.a Don Nalimson kuipamba Yanga day

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
haina haja ya kumuelezea sana kanitonya kwamba semaji jipya limewasiliana naye ili amsindikize Olomide kutoa burudani kwa wana utopolo.

Tumsapoti kwa nguvu zote mwana Jf mwenzetu tujitokeze kwa wingi siku hiyo ni suprise juu ya suprise vilevile Siphiwe Tshabalala, Prince dube na makocha toka ufaransa watatambulishwa.

Dj DON NALIMISON
 
2880918_IMG_20210813_151042.jpeg
 
Acha wee,nasikia na Kaka yake Hamza wa salenda atakuwepo,lengo ni kuweka vivutio vya kutosha ili uwanja ujae.
 
Mikia wengi mmezaliwa na malaya ndio maana huu ni uzi wa 50 unaiongelwa yanga, tunazidi kutrend tu 😁😁
 
Back
Top Bottom