Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kwa hizo ngoma chache nilizozisikia aiseee hao wasanii wajipangeeeeee,
Go Deo, Gooooooooooo
Go Deo, Gooooooooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gii ngoma ni kali sana aisee[emoji1787][emoji23]Shake body,shake body
Don Nalimison..what a talent
Huyu jamaa hawezi kuwa serious aiseeh.Hii post imenifanya nigundue kuwa,kumbe kuna watu wanapewa uzito sana kulingana na mada wanazoleta hapa Jf huku ikiwa ni kinyume kabisa na uhalisia wa maisha yao mtaani.Don Nalimison hebu njoo utoe ufafanuzi juu ya hizi tetesi. Niko tayari kuwa Meneja wako. Nakuhakikishia tutatengeneza Menejimenti ya hatari sana Tanania, Afrika na Ulimwenguni kwa ujumla.
Tukipata na ule mzigo wetu wa kutoka ICC hakika hawa wakina Diamond, Ali Kiba, Harmonize, Nandy, na wengineo wengi! Watakuja kujipanga studio wenyewe kuomba korabo na Mkali mwenyewe Mh. Rais Mtarajiwa Deo kisandu! a.k.a Don Nalimison! a.k.a Masqo, a.k.a Mwalimu wa walimu, a.k.a Nelson Mandela wa Bongo.
😂😂😂😂😂alishaweka docs za hospital alizopimwa na kuonekana ni mzima hana tatizo la akili
tatizo alilonaloni la maumbile yakekua madogo kama ya mtoto wa darasa la pili na anasubiri dawa alioiagizia ifike, bahati mbaya uzi ule mods wakaufuta.
Huenda ni manager wake 😂Mleta mada una undugu na deo?
Ila to be honest, ni mtu wa kuthubutu kafanya makubwa kwa age yake hata kama hayamletea matokeo.Huyu jamaa hawezi kuwa serious aiseeh.Hii post imenifanya nigundue kuwa,kumbe kuna watu wanapewa uzito sana kulingana na mada wanazoleta hapa Jf huku ikiwa ni kinyume kabisa na uhalisia wa maisha yao mtaani.
Huyu jamaa namjuanje ndani.Mara ya mwisho kabla sijahamishwa kazi mkoa wa mwanza, alikuwa akifunzisha shule moja hivi ya sekondari inaitwa MKOLAN, baadae akakamatwa.
Huwa ninacheka sana ninaposoma habari zake humu, kwakua nyingi huwa zinamchora kama mtu fulani hivi mkubwa.
Jamaa anajitahidi. Mimi nilimshauri kama anataka kweli kupta pesa kwenye Muziki, aimbe Kisukuma.ngoma nazozikubali ni ile ya shake your body yule manzi aliua mule cyo kwa mauno yale ni kwikwi
na ile ya konguladulesheni (in don voice )
Yaani huyo teja ashtue watuView attachment 1696853
Mpaka sasa taarifa inayotambaa na kutrend mitandaoni ni inshu ya msanii wa kizazi kipya Don Nalimison maarufu kama Deo Kisandu kuachia album yake iliyopewa jina ANTIBIOTIC ALBAM.
Baada tu yakutangaza ujio wa albamu hiyo wachambuzi wakubwa wa muziki waliwaonea huruma wasanii kadhaa wa bongo fleva waliotoa albamu zao hivi karibuni kuwa walifanya vibaya kutoa albam kipindi kimoja na Kisandu wasanii hao ni Harmo, Rayvann na Darasa na wengine wakishauriwa kuacha kutoa albam zao mpaka Kisandu akimaliza mwaka sokoni.
Albamu hiyo inabeba mambo kadhaa ikiwemo maisha ya jela, mahusiano na mtoto wa rais(Malia Obama), mitandao ya kijamii na maisha ya siasa.
Stay tuned kupata taarifa hapa hapa JF
Ile ngoma yake ya congratulation naikubali sana.
Don nalimison aliua sana mule.
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]..DaahHahaha! DJ Dj Come oooon!