Deo Kisandu aingia studio kutoa album, Rayvanny, Harmonize na Darasa matumbo joto

Huyu jamaa hawezi kuwa serious aiseeh.Hii post imenifanya nigundue kuwa,kumbe kuna watu wanapewa uzito sana kulingana na mada wanazoleta hapa Jf huku ikiwa ni kinyume kabisa na uhalisia wa maisha yao mtaani.

Huyu jamaa namjuanje ndani.Mara ya mwisho kabla sijahamishwa kazi mkoa wa mwanza, alikuwa akifunzisha shule moja hivi ya sekondari inaitwa MKOLAN, baadae akakamatwa.

Huwa ninacheka sana ninaposoma habari zake humu, kwakua nyingi huwa zinamchora kama mtu fulani hivi mkubwa.
 
alishaweka docs za hospital alizopimwa na kuonekana ni mzima hana tatizo la akili

tatizo alilonaloni la maumbile yakekua madogo kama ya mtoto wa darasa la pili na anasubiri dawa alioiagizia ifike, bahati mbaya uzi ule mods wakaufuta.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila to be honest, ni mtu wa kuthubutu kafanya makubwa kwa age yake hata kama hayamletea matokeo.

Alishawahi kupokelewa kwenye mkutano mkubwa na Kinana na Nape wa CCM. Ingekuwa awamu hii ya machizi, probably angekuwa mkuu wa Mkoa.

Aligombea ubunge Lushoto 2010 enzi hizo ndiyo vijana wameanza kuwa moto na mageuzi. Huwezi kuitaja BAVICHA Tanga bila kumtaja jamaa.

Alikuwa kiongozi wa vijana Taifa ( NCCR Mageuzi ) na mjumbe wa Mkutano mkuu na pia kabla hajafungwa alikuwa ni mwalimu Mkolani.

Ni vijana wangapi wenye uthubutu wa aina hii nchi hii ??

Sema tu jamaa ni sijuo amechezewa, ameshindwa kabisa kutunza anachokipata.
 
ngoma nazozikubali ni ile ya shake your body yule manzi aliua mule cyo kwa mauno yale ni kwikwi

na ile ya konguladulesheni (in don voice )
 
ngoma nazozikubali ni ile ya shake your body yule manzi aliua mule cyo kwa mauno yale ni kwikwi

na ile ya konguladulesheni (in don voice )
Jamaa anajitahidi. Mimi nilimshauri kama anataka kweli kupta pesa kwenye Muziki, aimbe Kisukuma.

Anaweza kuchangana na Kiswahili.

Kanda ya Ziwa, mzunguko wa shows kwa nyimbo za aina hiyo ni mkubwa.

Na kuna Wasanii kibao kama kina BK Sande, Bhudagala, Mchelemcheke, Ya Leo kali, Lady Killy,

Tatizo lake anavunga Chris Breezy, anaimba Kiingereza 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Yaani huyo teja ashtue watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…