Deo Kisandu aingia studio kutoa album, Rayvanny, Harmonize na Darasa matumbo joto

alishaweka docs za hospital alizopimwa na kuonekana ni mzima hana tatizo la akili

tatizo alilonaloni la maumbile yakekua madogo kama ya mtoto wa darasa la pili na anasubiri dawa alioiagizia ifike, bahati mbaya uzi ule mods wakaufuta.
Toka corona toleo la pili liingie sijacheka hivi kama leo kwenye hii comment
 
alishaweka docs za hospital alizopimwa na kuonekana ni mzima hana tatizo la akili

tatizo alilonaloni la maumbile yakekua madogo kama ya mtoto wa darasa la pili na anasubiri dawa alioiagizia ifike, bahati mbaya uzi ule mods wakaufuta.
Usikute ameamua kuwa vyovyote ili atengeneze brand yake.
 
Sioni tofauti ya Deo Kisandu na jamaa flan wa Tunduma anatokea sana mitandaoni
 
Hajawahi kukamatwa lakini kwasababu za kuikosoa wala kuikashfu serikali.

Alikamatwa kwa mambo yake binafsi tu, kwa kuandika maneno Facebook yasiyo na tasfida
Nyuma ya hicho unachokifahamu kuna makubwa yaliokuwa yanamkabili Deo wakati ule.
 
Nilifikiria kama wewe, hizi nyimbo anazoimba ni "modern sukuma" kwa kutumia kiswahili na kiingereza, anachotakiwa ni kuingiza lugha ya kisukuma tu atazikimbia hela!!! usukumani, sasa hivi kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kisukuma zinauza balaa
 
Deo ni noma anaimba mpaka anaboa hata bila beat goma linachezeka kimanyoko zake
 
Wehu wenzake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilifikiria kama wewe, hizi nyimbo anazoimba ni "modern sukuma" kwa kutumia kiswahili na kiingereza, anachotakiwa ni kuingiza lugha ya kisukuma tu atazikimbia hela!!! usukumani, sasa hivi kuna muvi zilizotafsiriwa kwa kisukuma zinauza balaa
Eboooooooh khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…