Deo Kisandu: Dar es salaam nitakuja lini?

Deo Kisandu: Dar es salaam nitakuja lini?

Deo aiseeee unaniacha hoi sana alafu kuna pacha wako yule mtoto wa baba wa Taifa hakika thread zenu zinanipa burudani.
 
Ndo ivo tena, tuzidi kumuombea Deo Kisandu kila mtu kwa imani yake.
 
Sijui kwanini makonda hakukutaja wakati kamishna alisema mwenzako alikamatwa akawa anawaambia watulie aongee na Clinton na mkapa
 
Acha kiherehere wenzio wote wapo kimya wamenielewa au unatafuta ndoa
Mpumbavu huropoka kutoka na maovu yaliojaza moyo wake

anyway nisikulaumu
" huenda upo hedhi sasa maumivu ya siku zako yanakusumbua"
 
Back
Top Bottom