Kwani ndo amefikia hapoView attachment 3624329
Kwa bahati mbaya jamii yetu huwa inaridhishwa na shida ya akili ya mtu hadi pale atakapo okota makopo ila akiwa ana act namna ambayo haieleweki na sio kama kawaida yake huwa tunachukulia poa.
Hili sura gani jamani? Eti nalo unakuta linaitwa baby! Unatutisha bwana, unataka tuote usiku?View attachment 3624329
Kwa bahati mbaya jamii yetu huwa inaridhishwa kuwa mtu ana shida ya akili hadi pale atakapo anza kuokota makopo ila akiwa ana act namna ambayo haieleweki na sio kama kawaida yake huwa tunachukulia poa tu.
Huyu sio yule deo wa CDM na NCCR.
Malia Obama nae siku hizi zipo kama zimerukaMkwe wa Obama
Kwisa habari!Malia Obama nae siku hizi zipo kama zimerukaView attachment 3624332
Balaa lake sio la kitotoView attachment 3624329