Deogratias Kisandu amepatwa na nini? Tumsaidieni ushauri kijana mwenzetu

Kama huoni tatizo katika haya basi wewe una tatizo
 
Samahani mhusika na wahusika wengine , huyu jamaa Deo bila shaka ni member wa Jf Katiba ipo huru ila inategemea unaitumiaje , ukiitumia vizuri utakuwa huru ila ukiitumia vibaya hauto kuwa huru

Msaada huyu jamaa anatumia jina gani humu Jf
 
Deogratius Kisandu ndiyo jina analotumia humu
 
Leo nimesikia kwenye kipindi cha Matukio Redio Free Africa kuwa Mwalimuwa Mkolani Sec. Deogratius Kisandu anashikiliwa na polisi kwa kosa matumizi ya mabaya ya mtandao ya mwaka 2015, alituma sms mbaya. Baadaye Mkuu wa Mkoa wa Mwanza naye akamuongelea kuwa Deo kama mtumishi wa umma anafanya vibaya, pia mtu wa TCRA naye akaongelea suala hilo hilo. Deo bwana!!!!
 
Jf humu kwa heshima walimuanzishia SPECIAL THREAD yake jinsi anavyotema madini ya maana humu,hahah.
 
Asante Mhe. Mwigulu Nchemba . Deo anafaa kutafuta Kazi nyingine na sikufundisha watoto.
 
kwahiyo anapitishwa Dodoma pale au?
wasimsahau na Dr.Shika naye wampeleke milembe
 
Deo alikuwa anapigia debe sana Azuma kuwa inatibu ukimwi hahaha, wamwachie huru comedian wetu jamani. Halafu wale waliodukua akaunti yake ya facebook na kumsaidia kuandika yale matusi Mungu anawaona... Kisandu kavurugwa sana aisee
 
huyu jamaa amepelekwa hosp au bado anashikiliwaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…