Bado sijaona kosa lolote la kufanya akamatwe, kupigwa pingu na watu kama wewe kutokwa na mapovu..
Hajamdhuru mtu yoyote, hayo ni maneno tu, watu kama nyie wenye mihemko ndiyo yawafanye msahahau kabisa mambo muhimu yanayotukabili ili kupambana nayo, kama mafuriko, shule za nyasi, huduma za afya, kukeketwa kwa watoto, wabakaji wa watoto wadogo, mauaji ya vikongwe n.k. n.k.
Hayo niliyoorodhesha na maneno ya Deogratius Kisandu YAPI YANATUATHIRI ZAIDI?!
Ndio maana hata Museveni anakubaliana na Trump kwa fikra kama zako...Tutumie akili zaidi kuliko mihemko ya kizuzu kama yako..