Deogratius Kithama: Miaka 7 ya Nirvana basi!

Angekuomba Iazima ungemtunuku au vp!?
 
Nimesikitishwa sana kwa kuondoka kwa Deo ktk kipindi cha Nivarna...nasikitika kusema hakuna atakayeweza kama Deo kuendesha kipindi kile[emoji24] [emoji24]
Mmh wabongo, si mlikua mnamponda jaman, mara hajui kutangaza, mara yupo kama demu leo hii tena kawa mzuri mmh
 
jamani alikirudisha kipindi kwenye track nzuri baada ya Abby kusepa. na yeye aliposimama mwenyewe
tutamiss mambo ya Fashioooon kutoka kwake.

ila nahisi kapata bonge la deal...
Dah maskini, sijui ataenda wapi , alikua anajua kujishebedua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…