Deogratius Nalimi Kisandu

bioto

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,261
Reaction score
2,097
Uko wapi mjukuu wa kisandu?
nimemis post zako zisizo na mbele wala nyuma. Nilisikia mamwela walikunyaka... ni kweli?
sema na wewe punguzaga matusi aisee
 
Anamsubiri mtt wa Obama aje kumuwekea zamana uyu padri alikiua anatukana kwa sababu vyuma vimekaza alafu grisi hakupata ila huko segerea ya mwanza hakika ataweka gris bila shaka.
 
Huyu member mwenzetu anaendeleaje? Maana hali yake mara ya mwisho ilileta matata sana

Wenye kujua hali yake huyu Great Thinker wa JF
 
Moto aliokutana nao pale selo hatarudia tena matusi yake. Nadhani hata akaunti yake humu kafunga kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…