Deogratius Nalimi Kisandu

Deogratius Nalimi Kisandu

Anamsubiri mtt wa Obama aje kumuwekea zamana uyu padri alikiua anatukana kwa sababu vyuma vimekaza alafu grisi hakupata ila huko segerea ya mwanza hakika ataweka gris bila shaka.
 
Huyu member mwenzetu anaendeleaje? Maana hali yake mara ya mwisho ilileta matata sana

Wenye kujua hali yake huyu Great Thinker wa JF
 
Moto aliokutana nao pale selo hatarudia tena matusi yake. Nadhani hata akaunti yake humu kafunga kabisa.
 
Back
Top Bottom