Deogratus Kithama wa Nirvana EATV Karudi tena

Deogratus Kithama wa Nirvana EATV Karudi tena

hahahaa nimesikia tangazo lake leo.. kwamba is baaack mzee wa mafashooooon...
 
Yule jamaa aliyetumbuliwa na wanaJF alienda wapi.? Wana JF walimuanzishia Uzi akaacha kazi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Chezea habari za ushoga?
 
Yule jamaa aliyetumbuliwa na wanaJF alienda wapi.? Wana JF walimuanzishia Uzi akaacha kazi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Chezea habari za ushoga?
karejea kwa Nguvu zote tena anareje na Harmorappa
 
haaaa Loya mbona wanipa bad news......😡
hahahahaha kweli duniani hakuna haki sijajua hadi sasa kwanini binti Heaven on Earth anakuwa single hadi ana msubiri Deo kweli kuna muda naamini wanaume huwa hatujui tunataka nini? bila shaka una mkana mtu hapa hahah sasa wamesha kuovertake Deo wamemuwai
 
Yule muongozaji wa kipindi cha Nirvana Kwa nyakati zile anarudi tena sio Mwingine ni Deogratus Kithama, Siku za hivi karibuni ataendelea na Nirvana kama awali (Nimesikia tangazo hilo EA Radio).

Kaeni mkao wa kula.
1920bc930eee6de4726086c7df524053.jpg


Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
wanasema MSHUMAAA...
 
Hii ni habari mbaya sana kwangu!
Huwa napenda kumuona Lilian kamanzima basi roho yangu inasuuzika sana
 
Back
Top Bottom