Deontay Wilder ni sawa na Dulla Mbabe aliechangamka!!

Deontay Wilder ni sawa na Dulla Mbabe aliechangamka!!

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Maneno mengi uwezo mchache,Wote wamechezea kichapo cha nguvu,ngumi haziitaji mbwembwe watakuja kufia ulingoni hawa watu.

BTW. Hongera sana Tyson Furry kwa kunikalishia hii mutu kwa mara nyingine tena.
Screenshot_20211010-082300.png
 
Hatutaki hili lifury lako umbo minyama kama dubu ndo inambeba bondia awe sawa na umbo zuri sasa hilo kama chura unazani kuliangusha ni mchezo

Team wilder forever kama hujui ngumi maneno ni kawaida sana kaa pembeni tafuta pesa ngumi huzijui
 
Brother unaujua / uelewa wa mchezo wa ndondi ukoje?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Pole yake sana, hapo bado anasubiriwa akatume na ya kutolea...
 
Wilder ana ngumi yenye nguvu lakini footwork yake ni changamoto.
 
Round ya 8 kadundwa mbaya, kapelekewa kombination za hatari...
 
Back
Top Bottom