Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Dulla Mbabe wa Marekani kachezea kichapo kikali sanaaa🤣🤣Hatutaki hili lifury lako umbo minyama kama dubu ndo inambeba bondia awe sawa na umbo zuri sasa hilo kama chura unazani kuliangusha ni mchezo
Team wilder forever kama hujui ngumi maneno ni kawaida sana kaa pembeni tafuta pesa ngumi huzijui
Brother unaujua / uelewa wa mchezo wa ndondi ukoje?Hatutaki hili lifury lako umbo minyama kama dubu ndo inambeba bondia awe sawa na umbo zuri sasa hilo kama chura unazani kuliangusha ni mchezo
Team wilder forever kama hujui ngumi maneno ni kawaida sana kaa pembeni tafuta pesa ngumi huzijui
mi ndo maana nimempotezea tu.Brother unaujua / uelewa wa mchezo wa ndondi ukoje?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Unataka kusema maneno haypo kuleta tension ya mchezoBrother unaujua / uelewa wa mchezo wa ndondi ukoje?
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Kausha kwani tunabishanami ndo maana nimempotezea tu.