Deontay Wilder vs Tyson Fury Rematch confirmed

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Ile rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imekuwa confirmed baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika Dec1, 2018 kuisha kwa sare. Tyson Fury mara kadhaa ameonekana 'akijimwambafy' huko Instagram kwamba safari hii atamuoutbox vibaya 'The big dosser' kuliko alivyofanya pambano la kwanza, je ni kweli ataweza kufanya hivyo tena kwa mwamba huyo wa KO au ilikuwa bahati? Je AJ atampa sapoti muingereza mwenzake Fury ya kufanya nae sparring kama alivyoahidi? Let wait n' see....

Pambano hilo la ubingwa wa WBC linatarajiwa kufanyika mnamo Feb22 mwaka 2020 MGM Grand,Las Vegas---Marekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wilder atapigwa! Mbwembwe zake zote lakini kwa Fury huwa anazima zake, angalia vizuri gemu yao ya mwisho utajua kwa nini Fury atashinda kama alivyoshinda mwanzo Wilder akapewa mbeleko.
 
The bronzebombs
 
Ni pambano kubwa lisilo na ufundi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…