screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Ile rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imekuwa confirmed baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika Dec1, 2018 kuisha kwa sare. Tyson Fury mara kadhaa ameonekana 'akijimwambafy' huko Instagram kwamba safari hii atamuoutbox vibaya 'The big dosser' kuliko alivyofanya pambano la kwanza, je ni kweli ataweza kufanya hivyo tena kwa mwamba huyo wa KO au ilikuwa bahati? Je AJ atampa sapoti muingereza mwenzake Fury ya kufanya nae sparring kama alivyoahidi? Let wait n' see....
Pambano hilo la ubingwa wa WBC linatarajiwa kufanyika mnamo Feb22 mwaka 2020 MGM Grand,Las Vegas---Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambano hilo la ubingwa wa WBC linatarajiwa kufanyika mnamo Feb22 mwaka 2020 MGM Grand,Las Vegas---Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app