Fury pia alibebwa, refa alifanya delaying kwenye kuhesabu counts, ilipaswa iwe KOWilder atapigwa! Mbwembwe zake zote lakini kwa Fury huwa anazima zake, angalia vizuri gemu yao ya mwisho utajua kwa nini Fury atashinda kama alivyoshinda mwanzo Wilder akapewa mbeleko.
Safari hii lazima alale kwenye kamba nakuambia wait and see.Hiyohiyo style isiyovutia ndo imewalambisha sakafu watu 41 aliopigana nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Fury hana uwezo wa kumpiga Wilder KO, ana ngumi nyepesi mno[emoji3][emoji3]. Ana uwezo wa kumuoutbox but sio kum-KOSafari hii lazima alale kwenye kamba nakuambia wait and see.
Hizi ningumi mzee yeyote anapotea ngumi hizo hizo nyepesi unazosema ww washakaa watu KO teyari.Fury hana uwezo wa kumpiga Wilder KO, ana ngumi nyepesi mno[emoji3][emoji3]. Ana uwezo wa kumuoutbox but sio kum-KO
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi bado unaamini katika historia mkuu!Kwa history ya game nahis wilder atashinda 41 KO
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bila shaka unatengua kauli yako sasa! The Gypsy King kafanya yake, na kalamba damu kabisa dadeq!Fury hana uwezo wa kumpiga Wilder KO, ana ngumi nyepesi mno[emoji3][emoji3]. Ana uwezo wa kumuoutbox but sio kum-KO
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa[emoji3]Bila shaka unatengua kauli yako sasa! The Gypsy King kafanya yake, na kalamba damu kabisa dadeq!
😂 😂
Ulichoandika kimetimiaIle rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imekuwa confirmed baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika Dec1, 2018 kuisha kwa sare. Tyson Fury mara kadhaa ameonekana 'akijimwambafy' huko Instagram kwamba safari hii atamuoutbox vibaya 'The big dosser' kuliko alivyofanya pambano la kwanza, je ni kweli ataweza kufanya hivyo tena kwa mwamba huyo wa KO au ilikuwa bahati? Je AJ atampa sapoti muingereza mwenzake Fury ya kufanya nae sparring kama alivyoahidi? Let wait n' see....
Pambano hilo la ubingwa wa WBC linatarajiwa kufanyika mnamo Feb22 mwaka 2020 MGM Grand,Las Vegas---Marekani.View attachment 1305334
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kabebwa tena?Fury pia alibebwa, refa alifanya delaying kwenye kuhesabu counts, ilipaswa iwe KO
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana imekuwa nzitoFury hana uwezo wa kumpiga Wilder KO, ana ngumi nyepesi mno[emoji3][emoji3]. Ana uwezo wa kumuoutbox but sio kum-KO
Sent using Jamii Forums mobile app