Deontay Wilder vs Tyson Fury Rematch confirmed

Deontay Wilder vs Tyson Fury Rematch confirmed

This time sidhani kama muingereza ata survive KO
 
Mko wapi? Amkeni Amkeni! Utabiri umetimia! I told you before Fury atashinda na kweli yametimia! Bronze Bomber kapasuliwa hatari.
 
Ile rematch iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi wa masumbwi duniani hatimaye imekuwa confirmed baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika Dec1, 2018 kuisha kwa sare. Tyson Fury mara kadhaa ameonekana 'akijimwambafy' huko Instagram kwamba safari hii atamuoutbox vibaya 'The big dosser' kuliko alivyofanya pambano la kwanza, je ni kweli ataweza kufanya hivyo tena kwa mwamba huyo wa KO au ilikuwa bahati? Je AJ atampa sapoti muingereza mwenzake Fury ya kufanya nae sparring kama alivyoahidi? Let wait n' see....

Pambano hilo la ubingwa wa WBC linatarajiwa kufanyika mnamo Feb22 mwaka 2020 MGM Grand,Las Vegas---Marekani.View attachment 1305334

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoandika kimetimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa tusubiri pambano la Waingereza watupu! Fury na Joshua! Hakika AJ ana kazi nzito sana mbele ya huyu jamaa, yatamfika mazito!
 
Ile ngumi ya sikio imemaliza kila kitu kwani balance Wilder kuanzia round ya tano alikuwa hana.
 
Back
Top Bottom