Deontay Wilder vs Tyson Fury

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Wakuu kuna mechi hii ya uzito wa juu.. Dizain naona kama JF hatujaitlia maanani hii game.

Yeyote mwenye updates aweke hapa.

Kama si alfajir ya leo basi ni kesho.
 
Kwa mda wa bongo ni saa 05.00am 2/12/2018
Nataman tyson ashinde ila sizan kama itakua hivyo maana wilder nae niki sanga
 
Kwa mda wa bongo ni saa 05.00am 2/12/2018
Nataman tyson ashinde ila sizan kama itakua hivyo maana wilder nae niki sanga

Okayy..thanks . So ni alfajir ya leo!?

Pambano hili ni muhimu sana kwa Wilder koz anamtamani sana AJ...
 
Fury gypsy naona atapigwa
Nataka nione Wilder akichapana na A J
 
Ila tyson sio mtu rahis kupigia kwanz hajawah ku experience hata sare so ngoma itakua ngum mno sion pamban kam litakua na KO au TKO kam ushindi kwa yoyot utakua ni points tuuu
Mtazamo wangu
Lennox Lewis amesema kama wilder atamaliza upesi yaani round za mwanzo ushindi utakuwa wake, ila zikipita rounds kadhaa atapigwa.
Na Mike Tyson kasema hivyo hivyo
Evander Holyfield na Anthony Joshua pia wamesema hivyo
Tyson fury aliingia kwenye madawa ya kulevya lakini kwa sasa kaongeza uzito na ngumi zake ni hatari
Tusubiri tuone maana kwa utabiri wa hao mabondia wa zamani nimesalimu amri
Heshima kwao
 
Ngoja tuone pambano laku fungia mwaka
Wote wan record nzur sasa sjui nan ata haribu ya mwenzake ili ajenge yake super sport namba 1 mamb yote waz
 
Ila tyson sio mtu rahis kupigia kwanz hajawah ku experience hata sare so ngoma itakua ngum mno sion pamban kam litakua na KO au TKO kam ushindi kwa yoyot utakua ni points tuuu
Mtazamo wangu
Sema Wilder anakuaga real wild kwa ring... Licha ya kwamba anategemea sana right hand ila akikuotea moja tu..anakuvaa mazima.
 
Ngoja tuone pambano laku fungia mwaka
Wote wan record nzur sasa sjui nan ata haribu ya mwenzake ili ajenge yake super sport namba 1 mamb yote waz
Keep us posted bro..
 
Kama unatumia Ig wa follow worldsports14 jamaa wanatoa updates zote
 
Hii match itakua nyepesi kwa Tyson km akiweza kumkeep wilder outside na kuswitch left and right all over the canvas km alivofanya kwa klitchko lazma itamvuruga wilder huku akiona mda ukienda na matarajio take ya ko hayatimii ila akimuacha wilder a play nside ht round 6 hafiki
 
mpaka dakika hii hakijaeleweka,no updates za maana source zote ziko domanti
 
uyu wilder kiukweli sio bondia wakumtegemea au kumpa dhamana yako namuona AJ akimgalagaza vibaya hana ubavu wamkupiga joshua ata kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…