Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila tyson sio mtu rahis kupigia kwanz hajawah ku experience hata sare so ngoma itakua ngum mno sion pamban kam litakua na KO au TKO kam ushindi kwa yoyot utakua ni points tuuuFury gypsy naona atapigwa
Nataka nione Wilder akichapana na A J
Lennox Lewis amesema kama wilder atamaliza upesi yaani round za mwanzo ushindi utakuwa wake, ila zikipita rounds kadhaa atapigwa.Ila tyson sio mtu rahis kupigia kwanz hajawah ku experience hata sare so ngoma itakua ngum mno sion pamban kam litakua na KO au TKO kam ushindi kwa yoyot utakua ni points tuuu
Mtazamo wangu
Sema Wilder anakuaga real wild kwa ring... Licha ya kwamba anategemea sana right hand ila akikuotea moja tu..anakuvaa mazima.Ila tyson sio mtu rahis kupigia kwanz hajawah ku experience hata sare so ngoma itakua ngum mno sion pamban kam litakua na KO au TKO kam ushindi kwa yoyot utakua ni points tuuu
Mtazamo wangu
Tupe update mkuuWilder ana hali mbaya sna