Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri sana kama ni kwemaKwema, sijui kwako.
Pm wapi? Kwani ilikuwa ni Pm? Hebu fasta nakusubiri hapaHahaha pm
Bila shaka ana kazi yake ndio maana anapendezaHongera kwake kwa kuongeza umri[emoji480][emoji512]
Sasa ajikite katika kuchapa kazi
Mvua zipo karibuni anaweza kujikita uko
Dagaa nao wanalipa
Bishara ya kukatakata matunda nakuza nayo si haba
Samaki wakukanga,kuchoma chapati nayo Ni safi
ASITEGEME PESA ZA WANAUME
NB: Ni ushauri tuuh Sina hitilafu na Bday girl
Kiberenge 😆😆😆Happy birthday ex..
Katoto kapya unamiaka mingapi..?Kiberenge 😆😆😆
No worries Hyper, nazitegemea zangu mwenyewe Mkuu.Hongera kwake kwa kuongeza umri[emoji480][emoji512]
Sasa ajikite katika kuchapa kazi
Mvua zipo karibuni anaweza kujikita uko
Dagaa nao wanalipa
Bishara ya kukatakata matunda nakuza nayo si haba
Samaki wakukanga,kuchoma chapati nayo Ni safi
ASITEGEME PESA ZA WANAUME
NB: Ni ushauri tuuh Sina hitilafu na Bday girl
Nimefurahi zaidi! Hapa nasubiria mwaliko wa kula keki[emoji39]Nimefurahi kukuona hapa