Depal; happy birthday' kwako mrembo

Hongera kwake kwa kuongeza umri[emoji480][emoji512]
Sasa ajikite katika kuchapa kazi
Mvua zipo karibuni anaweza kujikita uko
Dagaa nao wanalipa
Bishara ya kukatakata matunda nakuza nayo si haba
Samaki wakukanga,kuchoma chapati nayo Ni safi
ASITEGEME PESA ZA WANAUME
NB: Ni ushauri tuuh Sina hitilafu na Bday girl
 
Bila shaka ana kazi yake ndio maana anapendeza
 
Kiberenge πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Katoto kapya unamiaka mingapi..?
Kuna Kobe alishawahi niambia hili ndo huwa swali gumu kwa ke..🀣 nami nakazia AMIN..
 
No worries Hyper, nazitegemea zangu mwenyewe Mkuu.

Blessed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…