Strong Side
Senior Member
- Sep 17, 2019
- 187
- 305
Nifanyeje ili na mimi nikione hicho kiuno nyigu[emoji848][emoji848] all in all happy birthday to you mrembo japo nimechelewaHaha
Haya bwana
Shukrani...
Sogea hapa mnazi mmoja uchukueNiko Posta Mpya
Eee fanya ivo siri itakua yangu na wew tu.Unataka picha au 😆
Swali la nyongeza kuhusu chura mheshimiwa[emoji38]
Thank you Rock.Waiter ebu fanya kampango wa kuleta bombadia na ka energy ka kuchanganyia kuna mtu leo kazaliwa nataka kufurahi nae Depal Happy birthday to you @ Depal [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
Happy belated birthday to her.Tarehe kama ya leo, miaka kadhaa...iliyopita malaika walishangilia kwa ajili ya dada na rafiki yangu mpendwa kuzaliwa.
Leo unapoikumbuka siku hii muhimu na ya kipekee katika maisha yako, napenda kukutakia baraka tele, mafanikio, furaha na upendo katika maiaha yako. Ni maombi yangu kwa Mungu akubariki kwa kila kazi na Neema zake Mungu zikufunike siku zote za maisha yako..Amen
Karibuni familia ya jf tumtakie Depal
Baraka na heri katika siku hii muhimu kwake
Mshana Jr
Joanah
Depal usisahau kuweka na ya wakala hapa utumiwe keki na wine [emoji28][emoji28][emoji28]
Tarehe kama ya leo, miaka kadhaa...iliyopita malaika walishangilia kwa ajili ya dada na rafiki yangu mpendwa kuzaliwa.
Leo unapoikumbuka siku hii muhimu na ya kipekee katika maisha yako, napenda kukutakia baraka tele, mafanikio, furaha na upendo katika maiaha yako. Ni maombi yangu kwa Mungu akubariki kwa kila kazi na Neema zake Mungu zikufunike siku zote za maisha yako..Amen
Karibuni familia ya jf tumtakie Depal
Baraka na heri katika siku hii muhimu kwake
Mshana Jr
Joanah
Depal usisahau kuweka na ya wakala hapa utumiwe keki na wine [emoji28][emoji28][emoji28]
Siku akitaka[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mume amepata?