Depal; happy birthday' kwako mrembo

Depal; happy birthday' kwako mrembo

Waiter ebu fanya kampango wa kuleta bombadia na ka energy ka kuchanganyia kuna mtu leo kazaliwa nataka kufurahi nae Depal Happy birthday to you @ Depal [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]
 
Thank you Rock.

Mtoto hatumii hivyo vitu vizito...
 
Tarehe kama ya leo, miaka kadhaa...iliyopita malaika walishangilia kwa ajili ya dada na rafiki yangu mpendwa kuzaliwa.
Leo unapoikumbuka siku hii muhimu na ya kipekee katika maisha yako, napenda kukutakia baraka tele, mafanikio, furaha na upendo katika maiaha yako. Ni maombi yangu kwa Mungu akubariki kwa kila kazi na Neema zake Mungu zikufunike siku zote za maisha yako..Amen

Karibuni familia ya jf tumtakie Depal
Baraka na heri katika siku hii muhimu kwake

Mshana Jr
Joanah

Depal usisahau kuweka na ya wakala hapa utumiwe keki na wine [emoji28][emoji28][emoji28]
Happy belated birthday to her.
Internet hug!
 
Nipo hapa
 
Back
Top Bottom